Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Status
Not open for further replies.
kelly unaanza hivyo.

Sahiba.

What do you mean nimeshaanza??...Nauliza kwa sababu kutokana na comment nilivyosoma the guy sound and does look wierd kama jina lake lilivyo...no wonder akawatoroka,i guess you underestimated him big tyme.That show how much serikali ya tanzania ilivyo bogus kabisa.I love my country but i hate the way inji inavyoendeshwa...kiholelaholela tuu wanafaidika waliojuu tuu na waliochini wanaendelea kuteseka kabisa...
 
Can you really tell by just looking of the person and realize he was gonna run away Kelly ? If you have that expertise I don't want you as my wife you scary. Think Twice.

SAHIBA
 
Liumba ni mashuhuli sana ona members 34 and guest 83

BiggieBiggie, bob, Degauche2008, Dotori, Ekitarangwe, Icadon, Kang, Kuntakinte, Madela Wa- Madilu, Misitu, Mkora, Mkubwa Dawa, moelex23, Mtarajiwa, mwakatojofu, MwanaHabari, Mwazange, Mwikimbi, ndamwe, Njimba Nsalilwe, Nsololi, Nyumbu, Rungu, Sahiba, share, Sober, The Dreamer, tk, varahala, Yebo Yebo, ZeMarcopolo, Zungu Pule

Hata Icadon, Madela Wa- Madilu ndani ya nyumba

Long live Amatus!!
 
Last edited:
Liumba ni mashuhuli sana ona members 34 and guest 78

BiggieBiggie, bob, Degauche2008, Dotori, Ekitarangwe, Icadon, Kang, Kuntakinte, Madela Wa- Madilu, Misitu, Mkora, Mkubwa Dawa, moelex23, Mtarajiwa, mwakatojofu, MwanaHabari, Mwazange, Mwikimbi, ndamwe, Njimba Nsalilwe, Nsololi, Nyumbu, Rungu, Sahiba, share, Sober, The Dreamer, tk, varahala, Yebo Yebo, ZeMarcopolo, Zungu Pule

Hata Icadon, Madela Wa- Madilu ndani ya nyumba

Long live Amatus!!

Jambazi always akikamatwa anakuwa maarufu si kama akina Balali na wengine.


SAHIBA.
 
Can you really tell by just looking of the person and realize he was gonna run away Kelly ? If you have that expertise I don't want you as my wife you scary. Think Twice.

SAHIBA


Oh yes Sahib You can tell a lot on when and what people are thinking kutokana na body language......I dont know that part of expertise but its easy to read people kutokana na body language.

Oh well too bad mr sahiba since i have a cupcake and he is not scared.
 
Oh yes Sahib You can tell a lot on when and what people are thinking kutokana na body language......I dont know that part of expertise but its easy to read people kutokana na body language.

Oh well too bad mr sahiba since i have a cupcake and he is not scared.


If this is your picture your cupcake is sooooo blessed. Think Twice.

SAHIBA.
 
Hawa watuhumiwa situliambiwa wamenyang'anywa passport sasa katorokaje au katoroka kwa miguu.
 
Really nice movie! ngoja nianze kazi ya kutengeneza movie, story kibao bongo.
 
Nadhani hata huyo jajia anastahili kuwwajbishwa kwanini wawe na double standard!!!!! watu wengine mpaka watimize mashart ndio wanachiwa sasa huyu ilikuaje atoke kwa shilingi millioni 800 na dhamani ilikua inatakiwa billion 50???... Kuna mchezo mchafu hapa
 
Alidhaminiwa kwa 800M badala ya 50B na alisalimisha passport iliyokwisha muda wake tangu 12 Feb 2009 unategemea nini? Nadhani kuna mchezo mchafu unaendelea hapa kati ya watuhumiwa, mahakama, mafisadi na labda na nikiwa na maana ya labda serikali. Je! mnakumbuka kesi ya uhaini ya 1983; Lukakingira aliwezaje kutoroka ktk Mahabusu ya keko? Sina uhakika kama Liyumba bado yupo nchini.

Je aliyoyasema EX-DG wa Usalama wa Taifa Hansy Kitine ndiyo haya? Na kama ndio hayo JE! TUTAFIKA?
 
huyu hakimu hadija msongo anaelekea pabaya!!! ile dhamana ilikuwa na walakini mkubwa hata kwa mtoto mdogo...mwenzie kweka aliahamishiwa kituo cha polisi kwa siku mbili kusaidia upelelezi!!!!interesting
 
Nadhani hao akina dada walio katika list ya AL wanaweza wakatoa msaada wa kuonyesha jamaa alipo.
 
Nadhani sasa kuna haja ya kumkubali "mfyatukaji" na "mropokaji" Mh. Six, Jaji Mkuu Ramdhani aliongea kitu asichokijua na bora tu Sitta alimtolea uvivu.
 
Oh yes Sahib You can tell a lot on when and what people are thinking kutokana na body language......I dont know that part of expertise but its easy to read people kutokana na body language..
Yes you can but the true way of knowing what people are thinking is through a 'sixth sense' or 'machale'. Kila kiumbe anayo machale ile wengi yameificha mpaka yaibuliwe na wengine yako wazi mpaka wanapata 'preamonition' ama kufanya 'precognition'.
The simplest way kuyatambua machale ni to listern from your self. The voices from within.
Nikikuimagine Kelly wewe ni 'bomba' na lazima kila kukicha jamaa wanakutokea. How can you tell who is genuine?. Wengine nia yao ni kukutarai 'test', wengine kukupitia tuu ili mradi kwenye idadi niliyopita na wewe ummo na wengine they are in for real. Wote watakuja na wimbo ule ule 'I love You'.
Kama ni kweli Liyumba ameishia, hakimu aliyotoa dhamana ama alipokea bahasha nene ambayo mpaka ingentia mashaka, ama alifanyiwa 'kitu' akalainika kama maini. Japo hakuna aliyedhania anaweza jump bail, the voice from within alimuonya huyo hakimu lakini yeye alipiga moyo konde na kutoa dhamana ambayo ni haki ya mshtakiwa kwa kuingizwa mkenge na sura ya kunyong'onyea na kutilisha huruma ya 'Mzee wa vigari vyekundu' na yeye kama mwanamke yoyote, huruma, mapenzi na ubinaadamu vikachanganyika.
 
sheria na wanasheria wana mapungufu mengi ambayo wao calling themselves "LEARNED BROTHERS" wana BLOW THEIR OWN TRUMPETS kwa majina makuu na yaliyotukuka kama "MHESHIMIWA" ndiyo wanatupeleka "CHOO CHA KIKE" kwa madai kuwa "ACHA SHERIA IFATE MKONDO WAKE"
 
Watanganyika wenzangu, huyu hakimu licha ya hizo hati kuwa na ulakini, lakini bado aliendelea kutoa dhamana, kwa mtizamo wangu, ukiangalia pension scheme ya hapo nyumbani, kama amekatiwa pesa nzuri ambayo hawezi hata kupata pindi atapo staafu,basi mimi sishangai, nahata kama atawajibishwa huo mshiko alionao, nizaidi zaidi ya hayo malupulupu atakayo pata uzeeni,hivyo kama Taruku waweza kuthibitisha kama amepokea kitu basi ashughulikiwe kufuatana na sheria zetu, kama kuna mtu mwenye mtizamo tofauti basi toa mawazo,lazima tuwe na moyo wa kupenda nchi yetu, hali hii imenikumbusha msemo usemao" Tanzania itajengwa na wenye moyo, na kuliwa nawenye meno" kama Liyumba.
 
Watanganyika wenzangu, huyu hakimu licha ya hizo hati kuwa na ulakini, lakini bado aliendelea kutoa dhamana, kwa mtizamo wangu, ukiangalia pension scheme ya hapo nyumbani, kama amekatiwa pesa nzuri ambayo hawezi hata kupata pindi atapo staafu,asi mimi sishangai, nahata kama atawajibishwa huo mshiko alionao, nizaidi zaidi ya hayo malupulupu,hivyo kama Taruku waweza kuthibitisha kama amepokea kitu basi ashughulikiwe kufuatana na sheria zetu, kama kuna mtu mwenye mtizamo tofauti asi toa mawazo,lazima tuwe na moyo wa kupenda nchi yetu, hali hii imenikumbusha msemo usemao" Tanzania itajengwa na wenye moyo, na kuliwa nawenye meno" kaa Liyumba.
UTATATIBU WA KUWEKWA KIZUIZINI URUDISHWE!
THIS will be a big blow to FISADIZ.....!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom