Kwa ahadi ya kwamba akishinda kesi basi akuzalie mtt mmoja bhasiiiiNipo tayar kumtetea Lulu for free
kipindi kile ilitoka taarifa kuwa mapafu ya marehemu yalikutwa dizaini kama yameiva..yaani yalikosa hewaHii case imeenda ndivyo sivyo,mistrial,
yaani hadi upande wa mashitaka umemaliza kujitetea hakuna ripoti ya doctor aliempasua na kuona nini kimeua huyu mtu?,
anaweza kuwa alicollapse baada ya kutoa mapovu mengi ,akapata heart attack akafa
Unamuonea tu alitakiwa ashtakiwe mama wake kwa kumlea kimjini mjiniTuangalie watu tunawaachia watoto wetu wa kike. Jamaa alitakiwa ashitakiwe yeye kwa kumfundisha huyo mtoto mambo ya kikubwa mapema.[emoji22][emoji22]
Macho mkoma. Majanjamajanja kuzingulia watu na imani zao na kisha kuasi viapo.Kumbe huyu mama ni mtoa Sumu??
Kumbe ndo maana padre wetu kapotea njia....
ulitaka aulize swali gani?Wakuu.
Aina ya mawakili wa serikali ndio maana hua hata serikali inashindwa kesi, kesi ya mauaji wakili anauliza eti taulo haikudondoka wakati unakimbizwa na kanumba? Sasa akishajua ilidondoka au haikudondoka alitaka kufanyeje labda?
Wafungwa wote waliojaa mpk magereza zinakuwa ndogo nchi nzima upande gani ulishinda kesi?Wakuu.
Aina ya mawakili wa serikali ndio maana hua hata serikali inashindwa kesi, kesi ya mauaji wakili anauliza eti taulo haikudondoka wakati unakimbizwa na kanumba? Sasa akishajua ilidondoka au haikudondoka alitaka kufanyeje labda?
Kila kesi inahitaji wakili wa utetezi?Wafungwa wote waliojaa mpk magereza zinakuwa ndogo nchi nzima upande gani ulishinda kesi?
Kila kesi inahitaji wakili wa utetezi bali kuna ambazo ni lazima na zingine ni chaguo la mshitakiwa.Kila kesi inahitaji wakili wa utetezi?
Hawakua na mawakili wengi wao sababu ya umaskiniWafungwa wote waliojaa mpk magereza zinakuwa ndogo nchi nzima upande gani ulishinda kesi?
Ni kweli lkn bado zipo ambazo zilikuwa na mawakili wa utetezi na jamhuri ikashinda.Hawakua na mawakili wengi wao sababu ya umaskini
Waliojaa jela ni hawa wa kesi za kuvunja na kuingia wake wa kesi za mawakili ni wachacheNi kweli lkn bado zipo ambazo zilikuwa na mawakili wa utetezi na jamhuri ikashinda.