titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Sasa hivyo vipimo vya kujua kuwa jamaa anamatatizo ya damu sjui na ubongo alivifanya nani.MD mchezo! Si ungemuona Muhimbili au kwingineko anatupa vidonge. Walewale wajasiriamali wa siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivyo vipimo vya kujua kuwa jamaa anamatatizo ya damu sjui na ubongo alivifanya nani.MD mchezo! Si ungemuona Muhimbili au kwingineko anatupa vidonge. Walewale wajasiriamali wa siku hizi.
Haya mambo ya sumu mwilini yasipokukuta unaweza dhania ni utapeli, lakini muda ni mwalimu mzuri sanaaHuyu ndo wakukamatwa awe mfano wa hawa matapeli wa afya. Sumu gani haziwaui wanakufa na matatizo mengine.
What if tiba ya sumu ndo sumu.
If wishes were horses, even beggers could ride...Huyu ndo wakukamatwa awe mfano wa hawa matapeli wa afya. Sumu gani haziwaui wanakufa na matatizo mengine.
What if tiba ya sumu ndo sumu.
Labda alikuwa nalo who knows, angekuwepo shahidi angetwambia...
Wadau, hivi huyu 'Dr' Cheni, mbona yeye ndiye anaonekana anaumizwa sana na maswahibu ya haka katoto!?Wadada hiki ni kipindi chenu cha kwenda kupata mitindo mbalimbali kutoka kwa Lulu, wanaume pia ni kipindi cha kupata picha za puchu usiku.
AnamlaWadau, hivi huyu 'Dr' Cheni, mbona yeye ndiye anaonekana anaumizwa sana na maswahibu ya haka katoto!?