Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

MD mchezo! Si ungemuona Muhimbili au kwingineko anatupa vidonge. Walewale wajasiriamali wa siku hizi.
Sasa hivyo vipimo vya kujua kuwa jamaa anamatatizo ya damu sjui na ubongo alivifanya nani.
 
Huyu ndo wakukamatwa awe mfano wa hawa matapeli wa afya. Sumu gani haziwaui wanakufa na matatizo mengine.
What if tiba ya sumu ndo sumu.
Haya mambo ya sumu mwilini yasipokukuta unaweza dhania ni utapeli, lakini muda ni mwalimu mzuri sanaa
 
Ndiyo maana dr Mihogo anapagawa, kumbe anatolewa sumu na kupiga katerero.
 
Kuna kitu kuhusu miaka hii nimeanza kupita kesi zinazosikilizwa huku ukisoma unabaki unajiuliza hivi serikali ina mawakili au ni porojo tu wanaenda kupiga soga huko.. maana baada watu wanaachiwa kama vile walioewa waom. Kwa kutumia ujanja unaonekana wazi huku mawakipi wa serikali kuwa kama hawamo kortini.

Ingine ya mdada wa TRA huyo nae tutasikia kaonewa na serikali iliyomshitaki.. labda mkuu wa mawakili afanye lake kuondoa viroja vinavyopenda pesa. Na majaji nao wengine majanga..

Awamu hii ya tano kuna tatizo mahala huko kwa mawakili wao wasio supa na majaji wao.

Waanze kuchunguzwa wote wanaoshindwa kesi.. inaboa sana sanaaaaaa

Kama kuna wanazoshinda basi watupe website tukasome hata kama mapaparazi hawana interest nazo. Tukue wanasindaga kesi..

Bora FFU wangewapiga wao
 
Awasilishe vipimo vinavyoonyesha aina ya sumu na hivyo vingine. Pia mke wa slaa ni daktaribwa hospital gani??
 
Ila haka ka-Lulu kameanza kukuzwa mapema sana, hebu ona hiyo picha hapo juu!
 
watu wapoteza kabisa hofu ya mungu, kwa kuwa kafa??!!! lkn pia kumbukeni sote tutakufa na tutakutana na aliye tuumba, tusidhani tutaishi milele tukapotosha ukweli kwa ajili ya kulinda mambo yetu ya hapa duniani ambayo yote ni mapito tu!! tumoongope mungu.
 
Nitashangazwa sana mahakama kukubali ushahidi huu wa kijinga....hivi mke wa Slaa alikuwa Dr wa hospitali gani? na alimchukua vipimo Kanumba?
 
Hivi kumbe huyu shemeji Josephine alikuwa Doctor au ndiyo kama akina Tabibu J.Mwaka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mahakama ya majuha tu ndiyo itakubali ushahidi wa Mke wa Slaa anayejiita dokta.

Pia wakili wa serikali anajikosesha hii kesi kwa makusudi kwa kukubali ushahidi wa kipuuzi kama huu ambao utaweka precedent ya kipumbavu ambayo haijawahi kutokea tangu dunia iumbwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…