Kesi ya Lulu: Polisi asema alikuta chupa ya Jack Daniel na Panga kwenye tendegu la kitanda

Acha uongo mkuu.

Ditopile hakutelekeza gari na wala hakukimbia....Yeye mwenyewe ndio alijipeleka polisi baada ya tukio.

Ditopile hakuwahi kuukumiwa na wala hakujinyonga.
 
Naomba kuuliza waungwana. Hivi kesi hii kuchukua muda mrefu hivyo kusikilizwa ni kwamba ni ushahidi tu ndo unaotafutwa au ni intelijensia yetu kuwa dhaifu katika masuala mazima ya kimahakama?? Tafadhali kwa mwenye uelewa na hili naomba majibu?
Nina ndg yangu alikuwa na murder case. Tukio la 2001, amekujahukumiwa 2011.
 
Hiyo whisky na panga vilifikaje ndani tena kitandani?
 
Acha uongo mkuu.

Ditopile hakutelekeza gari na wala hakukimbia....Yeye mwenyewe ndio alijipeleka polisi baada ya tukio.

Ditopile hakuwahi kuukumiwa na wala hakujinyonga.
Ditto aliua bila kukusudia,alikuwa provoked na Mbonde jalafu wote wandengereko.Kifo cha Ditto kilitokea hotelin Morogoro,hakujinyonga.
 
Ushahidi usipotosha kumtia hatiani ataachiwa.
Na ninafikiri pia kwa kesi kuchukua muda mrefu moja upo uwezekano wa ushahidi mwingi kupotea hasa kifo kinaeza changia kama shahidi/mashahidi kufariki. Au kupotea kwa nyaraka mbalimbali kama sehemu ya ushahidi mwisho wa siku mtuhumiwa anaamka kidedea. Si ajabu jumatatu au siku ya hukumu ukamsikia hakimu akisema kutokana na uchunguzi usiokuwa na shaka na kupata maelezo toka pande zote mbili. Uamuzi wa Mahakama pasipokuwa na shaka kabisa umemuona mtuhumiwa Lulu Michael hana kosa la kumtia hatiani hivyo basi Lulu Michael yuko huruuuu! Anagonga meza Coooooooooootttt[emoji375]!!! Hawa mahakimu wetu nao si wakuwaamini aseee!
Hapo lazima [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Mmmhh hii kasi ya 4G nahisi Lulu anaenda kula mvua.
 
Akiamua hivyo ujue kwelibushahidi hautoshi,serikali itakata rufaa.Nahisi pia jaji anaweza sema ,mwendesha mashtaka akamlete mtuhumiwa sahihi kwakuwa imethibitika Lulu siyo muhusika wa kesi husika.
 
Watu walikuwa wanapariiiiii[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Vipi kuhusu kitanda kuvurugika?
Vipi uchunguzi wa kina kwa marehemu kufanyika tofauti na kukutwa na uvimbe kichwani? (kwa kiswahili cha kizungu prosmotamu)
Kabla mtuhumiwa kupigiwa simu, Je marehemu na mtuhumiwa walikuwa wapi?
Je marehemu akufahamu kuwa mpenzi wake aliyemfunza sanaa alikuwa chini ya miaka 15?
Je familia za pande zote zilifahamu mahusiano ya kimapenzi ya vijana wao?
Kama familia zilifahamu ni hatua gani zilichukua ili kuondoa aibu na mkono wa sheria, lakini pia kwanini familia ya mtuhumiwa iliridhika binti yao kuwa huru kiasi kile?
 
Vipi kuhusu kitanda kuvurugika?
Vipi uchunguzi wa kina kwa marehemu kufanyika tofauti na kukutwa na uvimbe kichwani? (kwa kiswahili cha kizungu prosmotamu)
Kabla mtuhumiwa kupigiwa simu na Je marehemu na mtuhumiwa walikuwa wapi?
Mbona kuna wakati mwanzoni ilisemekana marehemu alisukumwa akaanguka sasa sjui aliangukia kisogo au kwambele maana alishagida JackDaniel yake sasa huenda alikuwa keshalewa..... lkn lulu anajua ukweli halisi.[emoji17]
 
Hivi bashite alikuwa wapi kipindi hicho wakuu

Nahisi hili LA panga lingemhusu
 
Mbona kuna wakati mwanzoni ilisemekana marehemu alisukumwa akaanguka sasa sjui aliangukia kisogo au kwambele maana alishagida JackDaniel yake sasa huenda alikuwa keshalewa..... lkn lulu anajua ukweli halisi.

Mbona kuna wakati mwanzoni ilisemekana marehemu alisukumwa akaanguka sasa sjui aliangukia kisogo au kwambele maana alishagida JackDaniel yake sasa huenda alikuwa keshalewa..... lkn lulu anajua ukweli halisi.[emoji17]
Aisee
Yawezekana mtuhumiwa alikuwa hampendi marehemu kimapenzi bali sanaa, lakini marehemu alimpenda mtuhumiwa kimapenzi.
Hivyo pengine matumizi ya pombe na vitisho vya panga ndivyo vilivyomsababisha mtuhumiwa labda kumsukuma marehemu kwa namna ya kujitetea kubakwa.?
Finger print za pombe na panga vingelichukuliwa wakati ule.
 
Mkuu mbona huyu miaka mitano ni michache ukienda magerezani kuna watu wana kesi za mauaji toka mwaka 2000 na mpaka Leo hawajaukumiwa.

Tatizo ni wapelelezi wetu kuwa slow huku mahakama kuu kukiwa na majaji wachache wanaosimamia kesi za mauaji.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…