Kesi ya Mahalu: Nani kilaza hapa?

Kesi ya Mahalu: Nani kilaza hapa?

na hawana kiasi .......pesa walizoiba ni nyingi kuliko walizofanyia hata hilo deal lenyewe!!
mlimsema chenge kachukuwa 10%, una watu wanaojua kuiba hao 200% ya deal wanaweka Monaco.
kazi kweli kweli
 
na wewe mhasibu gani unatoa tu pesa bila kuona unadaiwa kiasi gani!
mtatajana mwaka huu mpaka mmalizane.....
na moto umeanza huo hauzimi leo wala kesho, mpaka wote wamalizike
Boss wako akishakuambia kitu huwezi bisha kitu utafanya tu tena haraka haraka
 
Boss wako akishakuambia kitu huwezi bisha kitu utafanya tu tena haraka haraka

Ndiyo maana hatuendelei,

There is such a thing as "professional integrity".Katika "Principles of Accounts" kuna principle ya realization, kwamba huwezi kuconclude deal, au kuweka vitu katika mahesabu, including kulipia, kama vitu havijawa "realized".Huyu mhasibu amevunja principle hii muhimu kabisa ya uhasibu, huwezi kulipia kitu ambacho mkataba wake haujakamilika na wala hujauona.

Hamna maagizo ya bosi wala nini, huyu ni mzembe au amehusika katika rushwa.
 
Katika wizi kama unaodaiwa hapa mara nyingi kila anayehusika hupata kitu kidogo. Sioni kabisa uwezekano wa mtu kusaini maidhinisho ya malipo hewa huku na yeye akiwa hamegewi kitu kidogo unless that person is incredibly stupid but then again who knows.....I've met incredibly stupid people in my life....so nothing surprises me anymore.
 
Ndiyo maana hatuendelei,

There is such a thing as "professional integrity".Katika "Principles of Accounts" kuna principle ya realization, kwamba huwezi kuconclude deal, au kuweka vitu katika mahesabu, including kulipia, kama vitu havijawa "realized".Huyu mhasibu amevunja principle hii muhimu kabisa ya uhasibu, huwezi kulipia kitu ambacho mkataba wake haujakamilika na wala hujauona.

Hamna maagizo ya bosi wala nini, huyu ni mzembe au amehusika katika rushwa.

Huyu atakuwa ameahidiwa msamaha kama atasema ukweli lakini katika accounting professional na yeye anawajibika moja kwa moja kama ana CPA asahau kazi ya uhasibu Tanzania aende shule asomee professional nyingine, maana hajui anachofanya.
 
Huyu atakuwa ameahidiwa msamaha kama atasema ukweli lakini katika accounting professional na yeye anawajibika moja kwa moja kama ana CPA asahau kazi ya uhasibu Tanzania aende shule asomee professional nyingine, maana hajui anachofanya.

Usikute amesha cop plea deal...
 
Huyu atakuwa ameahidiwa msamaha kama atasema ukweli lakini katika accounting professional na yeye anawajibika moja kwa moja kama ana CPA asahau kazi ya uhasibu Tanzania aende shule asomee professional nyingine, maana hajui anachofanya.


NBAA imfuatilie, kama ana plea deal hiyo kivyake na mahakama lakini NBAA ina wajibu wa ku protect the integrity of accountancy and accountants in Tanzania.
 
NBAA imfuatilie, kama ana plea deal hiyo kivyake na mahakama lakini NBAA ina wajibu wa ku protect the integrity of accountancy and accountants in Tanzania.

Kwa taratibu za NBAA hata mahakama ikimwachia bado code of conduct ziko naye maana, Mhasibu anatimiza sheria za nchi and above all code of conduct ambazo ziko juu ya sheria za nchi, mahakama ikikuonea huruma unakutana na kamati ya maadili ambayo piga ua kama ulilipa bila kujihakikishia kuwa ni malipo halali hakuna jinsi ya kukwepa kufungiwa kufanya kazi ya uhasibu.
 
Mahalu case hearing: Former embassy accountant testifies

PLASDUCE MBOSSA
Dar es Salaam

A PROSECUTION witness in the embezzlement case facing former Tanzanian ambassador to Italy, Prof. Ricky Costa Mahalu, and another yesterday testified in court that the former ambassador directed him by letter to pay euros 2,065,826.60 of the money for buying an embassy building in Rome to a separate account at a bank in Monaco, France.

The witness, Stewart Prosper Migwano, who was financial attach at the Rome embassy at the time of the 2002 transaction, told the Kisutu Resident Magistrate's Court that he was also directed by the same person to pay euros 1,032,913.80 to another account in another bank in Italy.

Migwano told Presiding Principal Resident Magistrate In-Charge Sivangilwa Mwangesi, that he did not see the purchase contract for the building until after he had made both payments to the two banks in Italy and France.

It was only then, he said, that he noticed the amount of money specified to have been paid for the purchase was euros 1,032,913.80, although he had paid a total of euros 3,098,741.40.

Mahalu, along with co-accused Ms Grace Martin who was the counsellor at the embassy at the time of the transaction, are jointly charged with stealing over two million euros (approx. 3bn/-) from the government by forging the purchase price for the embassy building in the Italian capital.

It is asserted in the charge sheet that the fraud was aimed at cheating the government into believing that the building''s purchase price was euros 3,098,741.58, when in fact it was euros 1,032,913.80, thus enabling them (Mahalu and Ms Martin) to pocket the difference of 2,065,827.60 euros between them.

Both Prof. Mahalu and Ms Martin have pleaded 'not guilty' to the charges.
When the case first came to court early last year, Migwano was also included as a third accused. However, the state later dropped the charges against him before the case went to trial.

Testifying as a prosecution witness yesterday, the former Rome embassy financial attach' told the court that although he had asked Prof. Mahalu for the whereabouts of the purchase contract before paying the money to the two banks, he was told that the contract was being prepared by officials of the governments of Italy and Tanzania.

Led by a prosecutor from the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Migwano further testified that when processing the money to be paid on September 24, 2002, he only saw a letter of correspondence between the seller, Ceres, and the embassy - but no purchase contract.

He told the court that Ceres is the name of the company that owned the building bought by the embassy in Rome.

During cross-examination, one of the defence lawyers, Bob Makani, asked the witness to state why he also was initially arrested and charged in court alongside Prof. Mahalu and Ms Martin, but later released.

The witness replied that he did not know why he was released, adding that he was not testifying as a prosecution witness simply because he had been released.

Answering another question from the defence lawyer, Migwano said while he was aware that an evaluation had been done before buying the building, he never saw the evaluation report.

According to Makani, the building was evaluated by an official from Tanzania and another from Italy, and the Tanzanian official came up with the price of euros 3,098,741.40 while the Italian official put the price at more than euros 5 million.

Migwano, however, said he was not aware of any of these details, only that an evaluation was done.

He was then asked whether there was a part in any documents that directed him to pay money to Prof. Mahalu, to which he replied that there was no such direction on any of the documents.

Another defence lawyer, Alex Mgongolwa, asked the witness how many bank accounts the Rome embassy had, to which he replied that there were two accounts.

Asked if he was one of those who signed the forms to process the opening of the account which received the money for the building purchase, the witness answered in the affirmative.

When shown the letter that directed payment of the money to separate bank accounts in Rome and Monaco, he denied having any hand in preparing the letter.

Advocate Mgongolwa asked Migwano why he was denying having helped prepare the letter while his was one of the three signatures on it, and moreover there was use of the word ''WE' to show that more than one person was giving directions in the letter.
The witness, however, insisted that he did not prepare the document but Prof. Mahalu did.

Migwano was also asked if there was any problem with the auditors report in relation to the purchase of the embassy building, and the witness replied that the title deed was missing in December 2002 although he understood it was later provided.

The case will continue with the hearing on May 27 this year.

Meanwhile, another defence lawyer in the case, Cuthbert Tenga, told the court that the defence team was concerned about the way the case is being reported in the media.

Stating that various newspaper reports tended to 'distort' court procedures, Tenga said it is for the court to evaluate evidence given in court, and not the newspapers. He mentioned in particular the Guardian, Mtanzania, THISDAY and KULIKONI publications.

The defence counsel asked the court to use legal provisions to summon editors from these newspapers on this issue.
Presiding magistrate Mwangesi said he would give a ruling on the matter when the case comes up for continuation of hearing on May 27.
 
kweli, inashangaza sana watu hawatumii akili kazini wanafuata tu wanachoambiwa, hata akiambiwa akale mavi na boss wake atakula tu

Wanatujengea mazingira ya kutouliza why, wale watotomlimani wameuliza leo 339 wanarudishwa nyumbani, wanataka wakisema kitu ukubali, wakati professional nazo zinataka uhulize kwanini, hapo ndo pa kuamua kunyoa au kusuka.
 
Wakati hili dili linapikwa na kuiva namna hiyo nani alikuwa waziri wa mambo ya nje? Just asking!
 
Wanatujengea mazingira ya kutouliza why, wale watotomlimani wameuliza leo 339 wanarudishwa nyumbani, wanataka wakisema kitu ukubali, wakati professional nazo zinataka uhulize kwanini, hapo ndo pa kuamua kunyoa au kusuka.

kweli ni pabaya huko tunapoenda, Mkandara kweli kazi haiwezi...Ngurdoto hawa naona hawakuwa trained in PR and...let me add interpersonal skills...

Labda JK inabidi aendelee zile ziara zake kwa taasisi za serikali kuhakikisha kazi inafanyika...what happened to those trips (maana alikuwa anapita kwenye wizara)
wamesahau Msemo mzito wetu..."Kuuliza si Ujinga"
 
Tumshukuru Mtukufu Rais kwa kuruhusu angalau baadhi ya wizi kufahamika. Ni wazi kwamba ufichuaji wa baadhi ya ufisadi ambao tumeuona, umefanyika kwa ruhusa, na hata kwa usimamizi wa Ofisi ya Rais.

Hii ni mbinu ya JK ya kutokomeza angalau baadhi ya mafisadi. Bila Rais na Ofisi yake ya Usalama wa Taifa kuruhusu, na hata kufichua dili hizi kama za akina Mahalu, hakuna ambalo lingefahamka. Hata CAG anapotoa habari za ufisadi wa wakubwa kwenye taarifa zake huwa anakuwa amepata kibali JK kwanza.

Ufisadi haukuanza awamu hii. Ni ufichuaji tu ndio umeanza awamu hii. Hata miaka ya 80-85 wakat Mwalimu bado Rais, walikuweko maofisa kadhaa serikalini Dar ambao watoto wao walikuwa wakisoma SEKONDARI Canada, USA etc. Wakati huo huo ilikuwa kosa la jinai kuwa na fedha za kigeni. Gharama za kuwaweka watoto ng'ambo zilitokana zaidi na malipo ya dili za kifisadi.

Tatizo kwa sasa ni kwamba JK hawezi kuruhusu ufichuaji wa ufisadi wote. Baadh ya dili zinamkaribia mno. Hii ya Mahalu bila shaka aliifahamu tangu akiwa Waziri, lakini nadhani Kaka yake (Nchee Nkapa) alimkingia Mahalu kifua.

Augustine Moshi
 
Prof. Mahalu alikwapua billion 2 na kesi iko mahakani baada ya kufukuzwa kazi ya Ubarozi Italy: Wengi wetu tunajua kuwa Mahalu alikuwa swaiba wa karibu sana na Mkapa wakati wote wako elimu ya Juu.

Pia wengi wetu tunajua jinsi Prof. Mahalu na Mkapa walivyokuwa wanakula pesa za wanafunzi especially wale ambao walikuwa wanasoma nje ya nchi Mfano: Rusia, India na China. Kwa India waliweka wakala wao (EDCL-Education consultant Ltd ya India).

Pesa zilipotoka Tanzania zilipitia kwa huyu wakala badala ya ubarozi wetu wa India. Kwa kila kichwa serikali ilikuwa inalipa zaidi ya $10,000.00 kwa mwaka kupitia kwa wakal. EDCL walimega kidogo $2,000.00 ndo wakawa wanapeleka Ubalozi kwa ajili ya wanafunzi zingine $8,000.00 zikaenda kwenye account za akina Prof. Mahalu, Mkapa na Dr. Bilali. Zaidi ya wanafunzi 5000 waliingizwa kwenye huo mkondo wa EDCL. Zaidi ya $150,000,000.00 ziliteketea kwa hawa wezi kwa miaka 3.

Baada ya Mkapa kuwa Raisi akamvuta swaiba wake Prof. Mahalu na kumpeleka Ubarozi Ujeruman kwenye account zao, na baadaye akamwamishia Italy uko ndo akala tena billion 2 wakati huo mkuu wa kaya Kikwete alikuwa Minister of foreign affairs:

Swali:

Kwa nini Kikwete alimfukuza kazi Prof. Mahalu kwa kula billion 2 ambazo yeye kikwete alizijua.

1: Mramba walinunua ndege mbovu ya Rais zaidi ya Billion 40 lakini bado hakuna kesi na hakuna mashitaka.
2: Chenge, Mramba, Mkapa walinunua Rada kwa gharama ya mara tatu ambayo mpaka leo wanapigia kelele lakini hakuna aliyechukuliwa hatua yeyote!
3: Lowasa waliingiza Richmond kwa gharama ya Billion 172. kwa mtambo mmoja kwa MEGATTI 100, kwa gharama hiyo serikali ingenunua mitambo 5 mipya ya MW100 kwa kila mmoja, hivyo tungekuwa na MW500 BADALA YA KUKODI MTAMBO MMOJA WA MW100 KWA BILLION 172. Lakini mpaka leo Mkuu wa kaya anasema Lowasa hana Kosa na hana Kesi ya kujibu.
4:Karamagi waliingiza Richmond kwa gharama ya Billion 172. kwa mtambo mmoja kwa MEGATTI 100, kwa gharama hiyo serikali ingenunua mitambo 5 mipya ya MW100 kwa kila mmoja, hivyo tungekuwa na MW500 BADALA YA KUKODI MTAMBO MMOJA WA MW100 KWA BILLION 172. Lakini mpaka leo Mkuu wa kaya anasema Karamagi hana Kosa na hana Kesi ya kujibu.
5: Mkapa Wizi lukuki mkuu wa kaya anasema hana kesi ya kujibu.

Je Kikwete na Prof. Mahalu kuna nini?? Mwenye fununu tunaomba utufunuliye hili fumbo.
 
Mbona hamkujibu maswali yake badala tu ya kutafuta uhusiano wake na Mahalu?
 
Back
Top Bottom