19 August 2025
Dodoma, Tanzania
Mchungaji Dkt Godfrey Malisa: Tumevunja Misingi ya Haki na Demokrasia
View: https://m.youtube.com/watch?v=OJ6z5GakMp4Mchungaji Dkt Godfrey Malisa Asema Taifa Letu Limeiacha Haki na Demokrasia. Atoa Wito Mkubwa kwa Viongozi na Wananchi Kushikamana, Kulikomboa Taifa Linalopitia Kipindi Kigumu Ambacho Hakijawahi Kuonekana, Ili Kuweka Msingi Imara wa Maendeleo na Ukombozi wa Tanzania...
Mkae chini na kutumia simu janja ya jirani yako mkiwa 2 au 3 kwa wale wasio na simu janja msikilize ujumbe huu kuwa kama nchi tunapoelekea siyo salama maana mgombea urais kupitia tiketi ya CCM amezunja katiba..
Ukiwa na viongozi wa chama na nchi wasiojali katika ya chama na nchi, mbaya zaidi ambao wapo katika serikali na ikulu ya nchi yetu hii ni hatari sana ..
Hivyo ni lazima katiba ya nchi lazima iheshimiwe ...sasa naongea yale ya ndani ya Chama cha Mapinduzi kutekwa nyara ,kuburuzwa maana yake mali za Tanzania na haki za raia zinapunjwa ...
Rasilimali za taifa zitakuwa chini ya genge la wachache na wale waliokinunua chama cha mapinduzi CCM kwa harambee ya bilioni 87 huku mmoja wao kwa kujipiga kifua ametoa bilioni 10 kama bei ya kukidhibiti chama tawala kongwe tawala CCM..
Natoa wito ukaguzi wa mali za viongozi ikiwemo za Rais Samia Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Philip Isidori Nzabhayanga
Mpango, waziri mkuu Kassim Majaliwa, waziri wa fedha Mwigulu Nchemba .... na ripoti hizo zitolewe hadharani ndani ya wiki 3 kutoka leo mwezi agosti 19, 2025 ..
Wananchi wasusie bidhaa za mabepari waliokiteka nyara chama siku ya Harambee ya bilioni 87, raia wasusie energy drinks, cola na bidhaa za madalali hawa wa mali zetu za taifa ...