PostGE2025 Kesi ya Mange Kimambi ya utakatishaji wa fedha kuunguruma leo Desemba 4, Kisutu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube.

Katika kesi hiyo ya jinai namba 000021172 ya mwaka 2025, ilifunguliwa na Jamhuri tangu Agosti 28, 2025 Mahakamani hapo, inadaiwa kuwa kati ya Machi 1 na Machi 31, 2022, katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, Mange alijipatia Sh138.5 milioni akifahamu kuwa fedha hizo ni zao la uhalifu.

Inadaiwa pia alizipata fedha hizo kwa kufanya kazi ya uandishi wa habari bila kibali pamoja na kuzidai kwa vitisho. Shtaka hilo linaangukia kifungu 12(1)(d) na 13(a) cha Sheria ya Utakatishaji Fedha Sura ya 423 ya mwaka 2019, ikisomwa sambamba na Sheria ya Uhujumu Uchumi. Asubuhi ya Desemba 2, 2025, video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilimuonesha Mange akithibitisha kuwa amepokea taarifa kuhusu kufunguliwa kwa kesi hiyo, akidai kuwa Serikali ya Tanzania imedhamiria kumrejesha nchini.

Sheria ya kurejeshwa kwa watuhumiwa kutoka nje ya nchi (Extradition Act, 2019) inatambua utakatishaji fedha kama moja ya makosa yanayoweza kupelekea nchi kuomba mtuhumiwa kurejeshwa.

Hatua hiyo mpya inakuja takribani mwezi mmoja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano.

Akizungumza muda mfupi baada ya kuapishwa katika wadhifa huo jijini Dodoma, Johari alisema Serikali inatumia mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kutathmini uwezekano wa kumrejesha nchini.

1764834276780.png
 
Hii Kauli, "... ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano..." tayari ni doa katika hiyo kesi ya uhujumu uchumi/ utakatishaji fedha, na ikiwa Mange atawafungulia kesi huko Marekani, ubalozi ujiandae kupambana, vinginevyo mali za Tanzania huko Marekani zitapigwa mnada...
 
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Sh138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube.

Hawa wanafikiri US of America, kama Burundi. Unapanga kesi halafu unaomba etradition???? Haaaaaaaaaaaa. Huyu Mwanasheria Mkuu wa ajabu kabisa. Halafu kuna VIDEO inaonyesha wewe utakavyo m-target huyu Dada. Hata aibu hawana!!!
 
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Sh138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube.

Katika kesi hiyo ya jinai namba 000021172 ya mwaka 2025, ilifunguliwa na Jamhuri tangu Agosti 28, 2025 Mahakamani hapo, inadaiwa kuwa kati ya Machi 1 na Machi 31, 2022, katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, Mange alijipatia Sh138.5 milioni akifahamu kuwa fedha hizo ni zao la uhalifu.

Inadaiwa pia alizipata fedha hizo kwa kufanya kazi ya uandishi wa habari bila kibali pamoja na kuzidai kwa vitisho. Shtaka hilo linaangukia kifungu 12(1)(d) na 13(a) cha Sheria ya Utakatishaji Fedha Sura ya 423 ya mwaka 2019, ikisomwa sambamba na Sheria ya Uhujumu Uchumi. Asubuhi ya Desemba 2, 2025, video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilimuonesha Mange akithibitisha kuwa amepokea taarifa kuhusu kufunguliwa kwa kesi hiyo, akidai kuwa Serikali ya Tanzania imedhamiria kumrejesha nchini.

Sheria ya kurejeshwa kwa watuhumiwa kutoka nje ya nchi (Extradition Act, 2019) inatambua utakatishaji fedha kama moja ya makosa yanayoweza kupelekea nchi kuomba mtuhumiwa kurejeshwa.

Hatua hiyo mpya inakuja takribani mwezi mmoja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano.

Akizungumza muda mfupi baada ya kuapishwa katika wadhifa huo jijini Dodoma, Johari alisema Serikali inatumia mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kutathmini uwezekano wa kumrejesha nchini.

Hiyu si raia wa marekani. Hawawezi kukubali raia waonaje kwenue sustem ambazo mahakama is mot independent
 
Hii Kauli, "... ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano..." tayari ni doa katika hiyo kesi ya uhujumu uchumi/ utakatishaji fedha, na ikiwa Mange atawafungulia kesi huko Marekani, ubalozi ujiandae kupambana, vinginevyo mali za Tanzania huko Marekani zitapigwa mnada...
Ndo tatizo la wahalifu wakikwapua madaraka.

Johari anajitia doa
 
Sio kuwa ni kejeli hawajiulizi wao huko juu WHY WHY WHY WHY WHY WHY WATU WAMSIKILIZE MANGE KIMAMBI NA WAMPENDE MPAKA AWAINUE WATANZANIA WOTE WAINGIE. KAMA WANGEKUWA WANAKUBALIKA HAKUNA MTU ASINGEINGIA ROAD, am sure watanzania wenyewe wangewadhibiti hao wachache ambao wangetoka. Wao inatakiwa watawale kwa haki na kwa amani na kwa upendo wa hali ya juu na watanzania wote wapate haki sawa nchini mwao bila ya kutaka kujilinganisha na mtu aliyefeli ili na sie tunapofeli isiwe Kama justification.
Yaani mkifanya yanayompendeza Mungu mbona mtatawala milele na hao watu mtandaoni watakosa la kusema Sasa wewe unataka umdhibiti mtu asiseme ubaya wako, utaua na utafungulia uhaini na uhujumu kesi watanzania wote. Pia utatumia nguvu kubwa mno ya kuwalipa askari kuwakamata watu na kuua watu ambazo ni hela za hao hao watu wanaoteswa na kutekwa. Wewe toa waziri wa elimu atembelee shule zote awe anaona ni kinachopelea ka shule rekebisha , waziri wa afya atembele sehemu zote za afya Kijijini mapungufu Yale yarekebishwe.
Sasa mnatumia pesa NYingi kujaribu kuficha ukweli na hata nyie mnaujua. Pia Kama maandamo ni natural disaster aka nature imeamua huwezi zuia mafuriko ama tsunami hata ufanyeje iyo ni asili.
Sikiliza kero za wananchi zitatueni mbona ni easy Kuna watu wanaoenewa hawana pa kusemea.
Yaani watu Wana shida huku ground watu wanadhulumiwa ardhi.
Huko bandarini Kuna wafanyabiashara smt mizigo inazimwa watu wanaomba rushwa yaani kwa lazima yaani mtu ataka pesa yako bure. Kuna yule mfanyabishara enzi za magufuli alinyanyaswa na tra inajulikana alikuwa kariakoo haki yake Iko wapi.

Naelewa Kuna invisible government kwa Kila visible government.
Sina chuki na mtu Ila Kuna muda inafikia mahala watu wakichoka kunyanyaswa moyo unasema kuwa ni Bora nife.
 
Back
Top Bottom