Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sio wote mkuu, sema samuya na genve lake!mkiambiwa waafrika hamnaga akili, mkatae
Hawa wanafikiri US of America, kama Burundi. Unapanga kesi halafu unaomba etradition???? Haaaaaaaaaaaa. Huyu Mwanasheria Mkuu wa ajabu kabisa. Halafu kuna VIDEO inaonyesha wewe utakavyo m-target huyu Dada. Hata aibu hawana!!!Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Sh138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube.
Katika kesi hiyo ya jinai namba 000021172 ya mwaka 2025, ilifunguliwa na Jamhuri tangu Agosti 28, 2025 Mahakamani hapo, inadaiwa kuwa kati ya Machi 1 na Machi 31, 2022, katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, Mange alijipatia Sh138.5 milioni akifahamu kuwa fedha hizo ni zao la uhalifu.
Inadaiwa pia alizipata fedha hizo kwa kufanya kazi ya uandishi wa habari bila kibali pamoja na kuzidai kwa vitisho. Shtaka hilo linaangukia kifungu 12(1)(d) na 13(a) cha Sheria ya Utakatishaji Fedha Sura ya 423 ya mwaka 2019, ikisomwa sambamba na Sheria ya Uhujumu Uchumi. Asubuhi ya Desemba 2, 2025, video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilimuonesha Mange akithibitisha kuwa amepokea taarifa kuhusu kufunguliwa kwa kesi hiyo, akidai kuwa Serikali ya Tanzania imedhamiria kumrejesha nchini.
Sheria ya kurejeshwa kwa watuhumiwa kutoka nje ya nchi (Extradition Act, 2019) inatambua utakatishaji fedha kama moja ya makosa yanayoweza kupelekea nchi kuomba mtuhumiwa kurejeshwa.
Hatua hiyo mpya inakuja takribani mwezi mmoja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano.
Akizungumza muda mfupi baada ya kuapishwa katika wadhifa huo jijini Dodoma, Johari alisema Serikali inatumia mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kutathmini uwezekano wa kumrejesha nchini.
Hiyu si raia wa marekani. Hawawezi kukubali raia waonaje kwenue sustem ambazo mahakama is mot independentKesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Sh138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube.
Katika kesi hiyo ya jinai namba 000021172 ya mwaka 2025, ilifunguliwa na Jamhuri tangu Agosti 28, 2025 Mahakamani hapo, inadaiwa kuwa kati ya Machi 1 na Machi 31, 2022, katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, Mange alijipatia Sh138.5 milioni akifahamu kuwa fedha hizo ni zao la uhalifu.
Inadaiwa pia alizipata fedha hizo kwa kufanya kazi ya uandishi wa habari bila kibali pamoja na kuzidai kwa vitisho. Shtaka hilo linaangukia kifungu 12(1)(d) na 13(a) cha Sheria ya Utakatishaji Fedha Sura ya 423 ya mwaka 2019, ikisomwa sambamba na Sheria ya Uhujumu Uchumi. Asubuhi ya Desemba 2, 2025, video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilimuonesha Mange akithibitisha kuwa amepokea taarifa kuhusu kufunguliwa kwa kesi hiyo, akidai kuwa Serikali ya Tanzania imedhamiria kumrejesha nchini.
Sheria ya kurejeshwa kwa watuhumiwa kutoka nje ya nchi (Extradition Act, 2019) inatambua utakatishaji fedha kama moja ya makosa yanayoweza kupelekea nchi kuomba mtuhumiwa kurejeshwa.
Hatua hiyo mpya inakuja takribani mwezi mmoja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano.
Akizungumza muda mfupi baada ya kuapishwa katika wadhifa huo jijini Dodoma, Johari alisema Serikali inatumia mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kutathmini uwezekano wa kumrejesha nchini.
Ndo tatizo la wahalifu wakikwapua madaraka.Hii Kauli, "... ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari, kueleza kuwa ofisi yake inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano..." tayari ni doa katika hiyo kesi ya uhujumu uchumi/ utakatishaji fedha, na ikiwa Mange atawafungulia kesi huko Marekani, ubalozi ujiandae kupambana, vinginevyo mali za Tanzania huko Marekani zitapigwa mnada...