Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Hii upelelezi si unaendeleaa? ama?
Upelelezi haujaanza kwasababu shuhuda pekee muhimu aliyeshuhudia tukio hili, hayupo nchini, hivyo hakuna mtu yoyote aliyeripoti rasmi tukio hili, hivyo hakuna uchunguzi wowote.

Sasa kwa vile hili ni tukio la kweli na limetokea kweli na limefanywa na watu wasiojulikana, na baadhi ya sisi watu wa media, wenye uwezo wa kufanya IJ, tunaweza kufanya uchunguzi, kama nilivyoeleza hapa

Kubenea angeonekana wa maana sana kama angeomba kufanya uchunguzi wa tukio hili.
Hata mimi niliwahi kuuliza

P
 
Sukuma gang mnateteana, ila karma huwa haimwachi mtu salama.

Tunza hii comment yangu.
 
Jamani walio na access na taarifa zote tunaomba muendelee kutujuza. Kila mpenda haki angenda kumuona Makonda akipata kifungo na kazi ngumu jela.
 
Pingu ya nini?Afungwe kamba ya katani.😝😝😝😝
 
vipi lile gaidi katili na tapeli la Tanzania kesi ya lenyewe inaendelea lini maana litahukumiwa kunyongwa life vibaya kwa sababu limeua wengi sana yaani mikono ya lenyewe inanuka damu tulikuwa na lipinzani mbooye zero brain
 
Kesi ya Lisu wala haiitaji shuhuda, Cctv camera kazi yake ni nini?

Mfano kama hapa unataka ushahidi upi?
 

Attachments

  • 1636778845574.mp4
    1.6 MB
Angalau leo umeandika vizuri kama binadamu mwenye akili timamu. Sipendi tabia ya kusifia mafisadi na ufisadi na kujipendekeza kwa watawala. Ni laana kusifia watu wanaotesa wenzao
 
Duh! Suku gang defense.
 
Mimi kazi yangu ni mwandishi wa habari wa kujitegemea ninaye andika habari za kimaendeleo tuu kwa maslahi ya Taifa. Kwangu mimi hiyo issue haina maslahi tena, haswa kwa kuzingatia, karma tayari imeisha kula vichwa vya wahusika wakuu karibu wote.
P
Kumbe wasiojulikana .... Wanajulikana.

Hao wachache waliobaki wafichuliwe washughulikiwe ...!!
 
Alaaniwe kubenea. Kama atathubutu hiyo azma yake ajue mbele ya wanamapinduzi ni adui yao. Ni mtu mpinga maendeleo tu na kibaraka wa wauza madawa ya kulevya ataweza kumfumgulia mashtaka makonda.
Eti mwanamapinduzi !!.

Siupendi U communist unaowaona kina makonda & sabaya kuwa eti nao ni wanamapinduzi
 
Alaaniwe kubenea. Kama atathubutu hiyo azma yake ajue mbele ya wanamapinduzi ni adui yao. Ni mtu mpinga maendeleo tu na kibaraka wa wauza madawa ya kulevya ataweza kumfumgulia mashtaka makonda.
Duh, kuna watu ninafuu kukusanya waste materials za ng'ombe na mbuzi waweza faidika kugeuza kuwa samadi ukatimia Shambala kukuzia Mahindi na maharage kuliko wao.
Yaani Bashite ni mwanamapinduzi? Haikosi wewe kwa akili hizi ulikuwa mchepuko wa Jiwe.
Nimekasitika kwani nachukia ujinga
 
Kafungua kesi kwa niaba ya watu wote? Mimi simo kwenye hiyo kesi. Halafu mbona umekwishamkuta Makonda na hatia tayari hata kabla ya kesi kutajwa au ndo ule msemo kunya anye kuku akinya bata...... Angekuwa ni wa Ufipa ndo kaandikwa hivyo, ingekuwa balaa
 
vipi lile gaidi katili na tapeli la Tanzania kesi ya lenyewe inaendelea lini maana litahukumiwa kunyongwa life vibaya kwa sababu limeua wengi sana yaani mikono ya lenyewe inanuka damu tulikuwa na lipinzani mbooye zero brain
Usiongee Kama umekatwa kichwa. Amemuua Nani?. Unapotoa tuhuma ujiridhishe ukweli wake. Kama angekuwa ameua sidhani serikali hii inayomchukia ingemuacha. Shida ni kwamba tumebebeshwa chuki tu kisa vyama mtu anaweza kuongea chochote. Utofauti was vyama usitujengee chuki ambayo ukiulizwa haujui imetoka wapi. Tupendane Kama watanzania, Bei ikipanda inatuhusu wote haichagui CCM au CHADEMA. Kataa chuki ya kisiasa haisaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…