Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Upelelezi haujaanza kwasababu shuhuda pekee muhimu aliyeshuhudia tukio hili, hayupo nchini, hivyo hakuna mtu yoyote aliyeripoti rasmi tukio hili, hivyo hakuna uchunguzi wowote.Hii upelelezi si unaendeleaa? ama?
Sasa kwa vile hili ni tukio la kweli na limetokea kweli na limefanywa na watu wasiojulikana, na baadhi ya sisi watu wa media, wenye uwezo wa kufanya IJ, tunaweza kufanya uchunguzi, kama nilivyoeleza hapa
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa. Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza wajibu wake ipasavyo katika kuwabaini hawa watu wasiojulikana wanaohusika na matukio ya utekaji, utesaji...
Kubenea angeonekana wa maana sana kama angeomba kufanya uchunguzi wa tukio hili.
Hata mimi niliwahi kuuliza
WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Wanabodi Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo miongoni mwetu sisi wana JF, pale inapotokea serikali yetu imeshindwa jambo fulani, kwa wale wenzetu wenye uwezo, jee tuwajibike kuisaidia serikali yetu au kusubiri mpaka ishindwe, halafu kazi yatu iwe ni kuikosoa tuu, kuibeza na kuizomea kuwa...