Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Kwenye sheria ulifeli miserably, umebakia kuwa a spent cartridge pen pusher!
 
vipi lile gaidi katili na tapeli la Tanzania kesi ya lenyewe inaendelea lini maana litahukumiwa kunyongwa life vibaya kwa sababu limeua wengi sana yaani mikono ya lenyewe inanuka damu tulikuwa na lipinzani mbooye zero brain
Jikite kwenye mada
 
Kafungua kesi kwa niaba ya watu wote? Mimi simo kwenye hiyo kesi. Halafu mbona umekwishamkuta Makonda na hatia tayari hata kabla ya kesi kutajwa au ndo ule msemo kunya anye kuku akinya bata...... Angekuwa ni wa Ufipa ndo kaandikwa hivyo, ingekuwa balaa
Kama haumo jua wewe siyo mtu
 
Pascal unaweza kuthibitisha hii?
Hakuna binaadam yoyote anayeweza kuthibitisha the karma operatives, ila matokeo ndio pekee huthibitisha kuwa hiyo ni karma.

Ukifanya kitu kiovu hata sirini, kama wale waliomshambulia Lissu, na kujificha wasijulikane na kweli hawajulikani, ila karma inawajua na imewashughulikia mmoja mmoja.

Sasa kwa vile tangu Lissu ameshambuliwa na muda mrefu umepita, hapa katikati kuna watu kibao wamechomoka kiajabu ajabu, hivyo it's presumably ni karma imekula vichwa na not necessarily ni karma ya shambulio la Lissu bali ni karma ya matendo yao yote, shambulio la Lissu inclusive.

Karma is bad!, haina mswalie Mtume ya who is who, ikifika muda ya kula kichwa, karma inakula kichwa.
P
 
Siku hizi umepoteza kabisa uwezo wa kufikiri..
Ikiwa mtu kafanya tukio la uhalifu lkn hakuna mtu aliyemshuhudia maana yake uchunguzi hauwezi kufanyika?

Leo nikiona wewe unafanyia uovu sitakiwi kushitaki kwa niaba yako? Kwamba hakuna uhalali wa mashitaka kisa wewe hujaonyesha nia ya kushitaki?
Kwa level yako sikuwahi kufikiria unaweza kuwa mwepesi kiasi hiki.
Upelelezi haujaanza kwasababu shuhuda pekee muhimu aliyeshuhudia tukio hili, hayupo nchini, hivyo hakuna mtu yoyote aliyeripoti rasmi tukio hili, hivyo hakuna uchunguzi wowote.

Sasa kwa vile hili ni tukio la kweli na limetokea kweli na limefanywa na watu wasiojulikana, na baadhi ya sisi watu wa media, wenye uwezo wa kufanya IJ, tunaweza kufanya uchunguzi, kama nilivyoeleza hapa

Kubenea angeonekana wa maana sana kama angeomba kufanya uchunguzi wa tukio hili.
Hata mimi niliwahi kuuliza

P
 
Siku hizi umepoteza kabisa uwezo wa kufikiri..
Ikiwa mtu kafanya tukio la uhalifu lkn hakuna mtu aliyemshuhudia maana yake uchunguzi hauwezi kufanyika?

Leo nikiona wewe unafanyia uovu sitakiwi kushitaki kwa niaba yako? Kwamba hakuna uhalali wa mashitaka kisa wewe hujaonyesha nia ya kushitaki?
Kwa level yako sikuwahi kufikiria unaweza kuwa mwepesi kiasi hiki.
Kwenye kura za maoni za chama chake ccm alipata sifuri yenye masikio , ukikataliwa na watu duni kama wa chama chakavu ujue wewe ni furushi
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Subiri uone ,hata yule dogo wa Arusha mlisema hivyo hivyo
 
Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha na ulevi wa Madaraka .

Kesi hii iliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Mh Saed Kubenea kwa niaba ya watu wote , inatajwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni .

Bado hatujafahamu kama Mtuhumiwa huyo ataletwa akiwa na Pingu mkononi au la .

Usikae mbali .

View attachment 2031229
Update mkuu?? Hakimy kala nduki?? Au anaumwa?
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Kwahiyo Paul Makonda afungue kesi dhidi ya Raia mwema kwa kusema uongo.
 
Kesi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salam imetajwa Leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo kuamuru kufanyiwa marekebisho hati ya mashitaka ili kuondoa udhaifu katika mashitaka yaliyowasilishwa mbele ya mahakama hiyo.

Wengine wanaolalamikiwa katika hati hiyo ni mkurugenzi wa mashitaka nchini na Mkurugenzi wa upelelezi nchini Tanzania.
 
Kesi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salam imetajwa Leo katika mahakama ya wilaya ya kinondoni na hakimu mkazi wa mahakama hiyo kuamuru kufanyiwa marekebisho hati ya mashitaka ili kuondoa udhaifu katika mashitaka yaliyowasilishwa mbele ya mahakama hiyo,
Wengine wanaolalamikiwa katika hati hiyo Ni mkurugenzi wa mashitaka nchini na Mkurugenzi wa upelelezi nchini Tanzania.
Imefika wapi.
 
Hivi hati ya mashtaka ikiwa na udhaifu haitakiwi kutupiliwa mbali?......
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Leo naona mkuu akili imekurudia, kunakipindi huwa unaakili Sana..
 
Back
Top Bottom