KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

MAELEZO YA HUYU BINTI YAMENYOOKA BILA KUPINDA. KIMSINGI KANUMBA NDO ALIKUWA NA KOSA, ALIKUWA NATEMBEANA MTOTO WA CHINI YA MIAKA 18. ALIYETANGULIA KATANGULIA, NINA IMANI MAHAKAMA ITATENDA HAKI MAANA HUYU BINTI INAVYOONEKANA HAHUSIKIMOJA KWA MOJA NA KIFO CHAKE.
 
Elizabeth Michael Kimemeta aka Lulu......................................... haya binti kipanuzi ila wewe anyway all the best
 
ila hapo pa kutoka kuwasha gari kwenda coco pana mushkeli
Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.

Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?

Lulu is innocent
 
mi mkulima..nilikua fit balaa..halaf kwa mdahalo huniwezi kipindi hicho,yaani ukitaka ngumi twende ukitaka hoja twende
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu

Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam

Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma

Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho

Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen

Mtanange bado unaendelea

Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano

Bado niko hapa makaman mazee

LONDON BABY
 
Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea
 
Huyo bint afungwe tu, mana akivuka salama kesi hiyo bado ya familia ya komba nayo
 
Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.

Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?

Lulu is innocent
Aliendeshaje gari? Alikua na leseni kwa umri huo?
 
Back
Top Bottom