this time ita m cost alafu wanasheria wake watu wa chadema lazima wamkaange this timeTatizo la lulu huwa ni muongo muongo
Kumbe alimuua yeye John komba? ? Rest in peace
Kwani kuendesha gari lazima uwe na miaka 18?Hapo wanaka ku establish the premise that, alipataje leseni wakati alidai kipindi kile alikuwa under 18!?
Maelezo ya Lulu yana mchelemchele kama kweli Hayati alikuwa na uwezo wa kufanya chochote kwenye mwili wake ,kwann atumie panga.Ukisikiliza maelezo ya Lulu unagundua kuwa anacase kabsa ya kujibu.Ningemshauri tuuu asicheleweshe mahakama kufanya maamuzi maana 12 yrs inamhusuilibidi aseme nini labda kanumba alikuwa anampasua mara kwa mara ., mi nimemuelewa
Mkuu hata kama mpenzi wako una mchukia kiasi gani kwa kukupa kichapo, kweli una muona kadondoka anatoka povu na kugugumia maumivu, unakimbilia gari na kuendesha mpaka sehemu ya STAREHE kupumzisha AKILI?Maelezo ya Lulu yamenyooka sana. Yuko vzuri. Kanumba katangulia, alale pema.
Sheria inasemaje?Kwani kuendesha gari lazima uwe na miaka 18?
Dr Chen anajua kilicho muua MME MWENZAWana kampeni ya justice for kanumba,
Ni kwel kwamba mnaamini lulu aliua kwa kukusudia ama ni hisia hasi kwa bi mdada !??coz so far hakuna anaejua nn kimetokea
Lulu alikua 17yrs, kwan mtoto anajua swala la kupenda??Mkuu hata kama mpenzi wako una mchukia kiasi gani kwa kukupa kichapo, kweli una muona kadondoka anatoka povu na kugugumia maumivu, unakimbilia gari na kuendesha mpaka sehemu ya STAREHE kupumzisha AKILI?
Lulu anasema alikuwa na kibali cha kuendesha gari, ila alipo ulizwa anaweza ithibitishia Mahakama kama alikuwa na kibali kashindwa!
Binafsi kwa maelezo aliyo toa LULU namuona NI MUUAJI, LULU atakuwa alimpiga Kanumba kwa kitu kizito kichwani, hilo la kudondoka GAFLA NI STORI TU...... OOOOH mara umeme ulikatika nikajificha kwenye gofu, Kanumba akamfuata na kumburuza - Kanumba ana macho ya PAKA!
Muda wote anapigwa alikuwa anaomba msaada ila hakupata msaada, Kanumba alivyo anguka na kuanza kutoa povu akatoka akampa taarifa mdogo wa Kanumba na KUTAMBAA MBELE! Hapa akapata Msaada wa Haraka
Lulu umemuua KIPENZI CHA WAPENZI WA TASNIA YA FILAMU TANZANIA....Kipindi kesi inasikilizwa hatua za awali....wazazi wako walimlobb sana Mama Kanumba, nakumbuka hata wewe ulikuwa close sana yule mama, BAADA YA AKINA MSANDO KUKUTUMIA NA KUKUHAKIKISHIA USHINDI ulimpotezea kama Mshumaa mama wa BWANA WAKO ambaye unadai alikuwa anakutia pasipo ridhaa yako!
Naona umeweza kusaidia maana kwa sasa umewin Public sympathy, watu wanamuona Marehemu kama mkosaji sana, ili hali kwenye MASUALA YA NGONO ULIKUWA MKUBWA KWA KANUMBA.
Binafsi natamani na kuomba Kanumba atendewe HAKI ukanyee NDOo
Sheria hairuhusu kuacha kesi ya msingi kudeal na kesi nyingine iliyojitokeza kwenye mwenendo wa kesi zaidi ya kesi ndogo zitakazofanyiwa ruling. Kipengele hicho kinaweza kutumika kufavor upande wa mashitaka au mshitakiwa. Kifupi judge hawezi kumhukumu kwa kuendesha gari bila leseni au kwa leseni feki.Hilo la kuendesha gari bila leseni lazima litaingizwa tu, hasa kwenye ishu ya umri!
Kumbuka wakati ule wa kifo, ilidaiwa alikuwa under 18, sasa akijichanganya hapa lazima point of weakness itapatkana tu!
Mahakamani kunatokea vitu vingi, na linaweza kuingizwa jambo ambalo halina uhusiano kabisa na kesi, hivyo majibu yatakayopatikana yatatumika kujistify premises fulani!
Lulu alikua 17yrs, kwan mtoto anajua swala la kupenda??
Baadaye kanasema kalipata taarifa Kanumba kafariki kakiwa rumande.... Hahaaaaa kwa jinsi kaivyo kalimpiga na kitu kizito Kichwani alafu kakaenda Coco Beach kula maisha na Dr CheniNikiwa coco beach,meseji zilianza kusambaa zikiniuliza kwamba kanumba kafa......zilisambaaje? Ulijuaje kwamba meseji zinasambaa?
Wote uliowaorodhesha ni watu wazima, so walikua wakimraghai mtoto (Lulu) kwa nguvu ya pesa na umaarufu wao,Alikuwa chini ya 18, lakini kumbuka Lulu siyo dada ako aliyepo Kigoma akila Dagaa ama Migebuka, Lulu alitangulia kukuzwa na KPT KOMBA ...akamuingiza Kanumba kwenye ligi ya chini chini na Dr Cheni..... Lulu siyo tu alikuwa anajua kupenda, alikuwa ni fundi wa KUDANGA NA MPAKA LEO HAJAICHA HII ASILI YAKE....
Mama Lulu anafahamu faida lukuki walizo pata na Lulu baada ya binti kuwa exposed na DUNIA YA FUJO.....
sio dr cheni inasemekana alikua coco na kipusaBaadaye kanasema kalipata taarifa Kanumba kafariki kakiwa rumande.... Hahaaaaa kwa jinsi kaivyo kalimpiga na kitu kizito Kichwani alafu kakaenda Coco Beach kula maisha na Dr Cheni
Hehhe[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ukikutwa na nyama ndio mwizi. Kubaka hata mtoto amekubali akaja na ana miaka 6 umebaka maana akili yake hajawa na uwezo wa kupambanua. Marehebu ana kesi ya kujibuHalafu watetezi wake wanasingizia kanumba alikua anabaka,na ali kiba je hakuwa anapewa mchezo! Marehemu nae ana haki
Acha ungeseBaadaye kanasema kalipata taarifa Kanumba kafariki kakiwa rumande.... Hahaaaaa kwa jinsi kaivyo kalimpiga na kitu kizito Kichwani alafu kakaenda Coco Beach kula maisha na Dr Cheni
Sijui kwa nini hua nahisi kuna part fulani haisemwi
Hehhe[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ukikutwa na nyama ndio mwizi. Kubaka hata mtoto amekubali akaja na ana miaka 6 umebaka maana akili yake hajawa na uwezo wa kupambanua. Marehebu ana kesi ya kujibu