KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Swala la umri wa lulu lilishajadiliwa hapohapo mahakaman kwenye kesi ya awamu ya kwanza, Lulu alikua mtoto mdogo 17yrs, marehemu alikua anamlaghai kwa vipesa vyake
Je mtoto wa miaka 18 hawezi tenda jinai?? Sheria kuhusu minor ina exemption eneo hilo nadhani.
 
Do you know the meaning of Examination by the Court? if no then I advise you go n read even through google assistance.
Nashukuru mkuu! Japo sikubaliani nawe kuwa EXAMINATION BY THE COURT ni sawa na PROSECUTION!
 
Aliwezaje kuendesha gari, hakuwa na wasiwasi, mpk kufika coco, na umri huo mdogo kuna walakini. Lkn pia bado hana wasiwasi anaona kama jambo jepesi alilosababisha, salama yake umri na marehemu kumfanya mke kwa umri ule Wazazi tuweni makini na watoto hasa wa kike huyu mtoto kaharibiwa tabia mpk leo. Kanumba alikuwa na shida katika tabia yake na ukali anapotumia kilevi.
 
Gari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Leseni inakuja hapo kumuonyesha kuwa ni muongo, kama ataongopa kwenye maelezo ya leseni hakosi kueleza uongo kwenye taarifa zingine alitakiwa abakie hapo mpk wamkute
 
Leseni inakuja hapo kumuonyesha kuwa ni muongo, kama ataongopa kwenye maelezo ya leseni hakosi kueleza uongo kwenye taarifa zingine alitakiwa abakie hapo mpk wamkute
Kuwa na leseni au kutokua sio shtaka linalomkabili, otherwise kifo cha kanumba kimetokana na ajali ya gari dereva akiwa Lulu ndio swala la leseni lingekua lina umuhimu

Alafu kosa la kuendesha gari bila ya kuwa na leseni faini yake ni tsh 30,000/
 
Hapo jaji anataka kuelewa ukweli alionao ktk maelezo siyo kesi leseni kama huelewi uelewe hivyo kwa nini jaji amuulize leseni?
Hilo swali linaweza kumwongoza hakimu kujua alipokuwa anaondoka na gari alijuwa anajua kuwa amekufa?
Na kama alijua kuwa amelala na anaweza kuamka kwa nini asikae nje kuwasubiri bosco na daktari.
Huo unaweza kuwa uongo swali hilo linawaongoza kujua kitu fulani
 
Hivi joanah wewe upo kwenye, namaanisha age ya Lulu au Maimartha wa jesse?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mkuu ujue Maimartha wa Jesse anakimbiza 45 so usimfananishe kbs na bibie Joanah...
 
Kwanini mods mnanionea sana jana nimetoa uz wa arusha nao pia mkaunganisha kama hamtak mimi niendelee kuwa jf si mnambie

kwanini mnanioa mods
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umeamua kuwatolea uvivu moderators
 
Back
Top Bottom