Usitaje bure jina la..Mungu amsaidie huyu binti
Mi mbona naendesha mara nyingi na sina leseni.usiku hakuna trafficHapana, ila ni lazima uwe na leseni halali ya udereva!
Maelezo ya Lulu yamenyooka sana. Yuko vzuri. Kanumba katangulia, alale pema.
Je mtoto wa miaka 18 hawezi tenda jinai?? Sheria kuhusu minor ina exemption eneo hilo nadhani.Swala la umri wa lulu lilishajadiliwa hapohapo mahakaman kwenye kesi ya awamu ya kwanza, Lulu alikua mtoto mdogo 17yrs, marehemu alikua anamlaghai kwa vipesa vyake
AlifatwaDocter alifatwa au alipigiwa simu
Nashukuru mkuu! Japo sikubaliani nawe kuwa EXAMINATION BY THE COURT ni sawa na PROSECUTION!Do you know the meaning of Examination by the Court? if no then I advise you go n read even through google assistance.
Basi wewe mjanja! Endelea hivyo hivyo!Mi mbona naendesha mara nyingi na sina leseni.usiku hakuna traffic
Ni miaka kumi siyo kumi na nane,penal code 15(1)Je mtoto wa miaka 18 hawezi tenda jinai?? Sheria kuhusu minor ina exemption eneo hilo nadhani.
Leseni inakuja hapo kumuonyesha kuwa ni muongo, kama ataongopa kwenye maelezo ya leseni hakosi kueleza uongo kwenye taarifa zingine alitakiwa abakie hapo mpk wamkuteGari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Kuwa na leseni au kutokua sio shtaka linalomkabili, otherwise kifo cha kanumba kimetokana na ajali ya gari dereva akiwa Lulu ndio swala la leseni lingekua lina umuhimuLeseni inakuja hapo kumuonyesha kuwa ni muongo, kama ataongopa kwenye maelezo ya leseni hakosi kueleza uongo kwenye taarifa zingine alitakiwa abakie hapo mpk wamkute
Hapo jaji anataka kuelewa ukweli alionao ktk maelezo siyo kesi leseni kama huelewi uelewe hivyo kwa nini jaji amuulize leseni?Kuwa na leseni au kutokua sio shtaka linalomkabili, otherwise kifo cha kanumba kimetokana na ajali ya gari dereva akiwa Lulu ndio swala la leseni lingekua lina umuhimu
Alafu kosa la kuendesha gari bila ya kuwa na leseni faini yake ni tsh 30,000/
Kwani yy ni nan asifungwe?Usitengemee atafungwa hiyo miaka yako 5 unayo sema, hata kama sheria itasema hivyo....
Kwahiyo ww ni under 20 mummy ake Sabrina?Sio kweli mim lulu naweza kua nimemzidi miaka miwili au mmoja tu
Mkuu ujue Maimartha wa Jesse anakimbiza 45 so usimfananishe kbs na bibie Joanah...Hivi joanah wewe upo kwenye, namaanisha age ya Lulu au Maimartha wa jesse?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umeamua kuwatolea uvivu moderatorsKwanini mods mnanionea sana jana nimetoa uz wa arusha nao pia mkaunganisha kama hamtak mimi niendelee kuwa jf si mnambie
kwanini mnanioa mods