chinguile technician
Member
- Oct 19, 2017
- 58
- 26
mi namtakia kheri akiepuke hiki kikombe sababu toka mwanzo nilijua ni nyege tu za marehem ndo zimempeleka akherailibidi aseme nini labda kanumba alikuwa anampasua mara kwa mara ., mi nimemuelewa
Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.ila hapo pa kutoka kuwasha gari kwenda coco pana mushkeli
Kama sehemu ipi alipojichqnganya mkuu?Lazima afanye hvyo, ila sehem nyingi anajichanganya.
Pole yake
Thank you, good questionJe mtu unayempenda unaweza kumkimbiza na panga?
mi mkulima..nilikua fit balaa..halaf kwa mdahalo huniwezi kipindi hicho,yaani ukitaka ngumi twende ukitaka hoja twendeKumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.
Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?
Lulu is innocent
Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojiteteaAman iwe nanyi wapendwa
Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu
Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam
Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma
Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho
Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen
Mtanange bado unaendelea
Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano
Bado niko hapa makaman mazee
LONDON BABY
Aliendeshaje gari? Alikua na leseni kwa umri huo?Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.
Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?
Lulu is innocent
Hapo wanaka ku establish the premise that, alipataje leseni wakati alidai kipindi kile alikuwa under 18!?Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?