Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha ndio webaki kuzurura tu huku Mnyika akiwa hana hata mkakati wa kisiasa kujikwamua. Leo hii Mwenyekiti na watuhumiwa wenzake wake wanalilia Chakula.