Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Lipi nisilolijua?Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Nina uchungu na chama.We jamaa hao chadema wanakutesa sana, polee
Kama una uchungu zaa chama chako.chako.Nina uchungu na chama.
Impact yake kichama? Na matatizo yetu?..elimu anayoitoa TL ktk mitandao kwa kweli haina mfano.
Mkuu, ila kutokuwepo kwa mwenyekiti kumem-expose sana JJ!Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Haya tuambiwe wewe hilo unalolijua!Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Usilolijua ni kwamba huna akili. Kuwa real, usi-pretend uchadema. Mchadema hawezi kuwa nyumbu kiasi hichoLipi nisilolijua?
Kama mtu ana akili timamu,Pana kesi pale??aMkuu, ila kutokuwepo kwa mwenyekiti kumem-expose sana JJ!
Wewe na timu bambikizi ya goodluck&co ndio mlio paraganyika, wengine tuko O'Mara zaidi ya Simba.Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji...
Kama wewe siye badluck hats sijui, sio kwa chuki hizo kwa chama hicho na watu wake🤔Mkuu, ila kutokuwepo kwa mwenyekiti kumem-expose sana JJ!
Mtu anaweza dhania sisi soote tuko kama weye, kumbe ni wachache saana wanaofikiria kama weye.Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji...
Pamoja na chuki za kisiasa lakini usifurahi pale mwenzako anapokutwa na matatizo. Mbowe na wenzake ni WATUHUMIWA wapo katika changamoto, jela ni kwa kila mtu.Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha ndio webaki kuzurura tu huku Mnyika akiwa hana hata mkakati wa kisiasa kujikwamua. Leo hii Mwenyekiti na watuhiwa wake wanalilia Chakula.
Mbona nasikia lisu kamstopisha mnyika eti wametofautiana naama ya kushughukikia kesi ya mwenyekitiUbaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji...
nani anae mfatilia huko mtandaoni? hapa ndipo chadema inapoferi kila siku, mambo ya msingi mnatolea ufafanuzi mtandaoni...mtaishia kulalamika tu..elimu anayoitoa TL ktk mitandao kwa kweli haina mfano.