Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure).

Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini.

Kosa hilo kisheria linaitwa "wrong citation of the law".

Mawakili wa Serikali wamejenga hoja kwamba hili kosa ni dogo, siyo fatal, yaani mahakama inaweza kulifumbia macho.

Kina Kibatala wanasema ni kosa kubwa, yaani hakuna sheria hiyo waliyotumia.

Jaji kaomba siku nzima kuchambua hoja zote.

Je, ni nini kiko sahihihi?

Je, msimamo wa sheria zetu ukoje kwa kosa hili la wrong citation?

Msimamo uko wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilovumilika. Mahakama haina mamlaka na kesi yako kama umefanya kosa la wrong citation.

Msimamo huu Majaji wote Tanzania wameusimamia.

Msimamo huu ni wa Mahakama ya Rufani kwenye kesi zake nyingi. Moja ya kesi hizo ni ile ya "Chama Cha Walimu Tanzania v. The Attorney General, Civil Application No. 151 of 2008, (Unreported) ".

Katika kesi hii Court of Appeal olitamka wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilosameheka.

Hivyo Mahakama Kuu haina uwezo wa kukiuka maagizi ya Mahakama ya Rufani kama Mawakili wa Serikali wanavyojaribu kuishawishi.

Jaji wa kesi ya Mbowe hana mamlaka ya kwenda kinyume na Mahakama ya Rufani.

Jailing.

Wana lugha yao na kina Kingai - curable mistakes.

Wrong citation anataka siku nzima ya kutengeneza visingizio.

Hata kesho hata pungukiwa visingizio bila shaka kikiwemo cha Kingai - curable mistake.

Hiiiiii bagosha!
 
Kwa hili kosa hapa hakuna kesi kabisa kuanzia kuwakamata mpaka kutengeneza shitaka lenyewe ni magumashi. Leo Jaji kaenda kuulizana na Jaji Kiongozi. Huyu J4 atakunya ikifika wakati wa maswali. Sijui Baba yetu Sirro yupo katika hali gani.
 
Mimi mwenyewe nashangaa... pamoja na ungumbalu wangu kwenye sheria najua mara zote ukikosea tu vifungu, hata kesi inatupwa kule. Ngoja tuone; jaji asipokuwa makini, mawakili wa Mbowe watatumia huu uzembe kushinda rufaa mapema kabisa.
Mimi ni shuhuda niliwahi kushindwa kesi Kwa makosa Tu ya 80,000/= kuandikwa 8000/= Wakaonekana wajinga ndio ukawa mwisho WA kesi . Hata tusiojua Sheria hao Pimbi hawakujipanga.
 
Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure).

Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini.

Kosa hilo kisheria linaitwa "wrong citation of the law".

Mawakili wa Serikali wamejenga hoja kwamba hili kosa ni dogo, siyo fatal, yaani mahakama inaweza kulifumbia macho.

Kina Kibatala wanasema ni kosa kubwa, yaani hakuna sheria hiyo waliyotumia.

Jaji kaomba siku nzima kuchambua hoja zote.

Je, ni nini kiko sahihihi?

Je, msimamo wa sheria zetu ukoje kwa kosa hili la wrong citation?

Msimamo uko wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilovumilika. Mahakama haina mamlaka na kesi yako kama umefanya kosa la wrong citation.

Msimamo huu Majaji wote Tanzania wameusimamia.

Msimamo huu ni wa Mahakama ya Rufani kwenye kesi zake nyingi. Moja ya kesi hizo ni ile ya "Chama Cha Walimu Tanzania v. The Attorney General, Civil Application No. 151 of 2008, (Unreported) ".

Katika kesi hii Court of Appeal olitamka wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilosameheka.

Hivyo Mahakama Kuu haina uwezo wa kukiuka maagizi ya Mahakama ya Rufani kama Mawakili wa Serikali wanavyojaribu kuishawishi.

Jaji wa kesi ya Mbowe hana mamlaka ya kwenda kinyume na Mahakama ya Rufani.

Jailing.
Namna nyingine ya kuona kama 'wrong citation of the law is fatal or not', je ingetokea kwa upande wa utetezi, upande wa Jamhuri ungefumba macho?
 
Wana lugha yao na kina Kingai - curable mistakes.

Wrong citation anataka siku nzima ya kutengeneza visingizio.

Hata kesho hata pungukiwa visingizio bila shaka kikiwemo cha Kingai - curable mistake.

Hiiiiii bagosha!
Hii curable mistakes lipo kisheria ama kaka Kingai yeye anaona sawa.
 
Mambo mengine ya kibwege sana

Uamuzi wa kujinga utatoka kwa mtu mmoja (jaji) ila aibu itakuwa kwa tasnia nzima (sheria)

Jaji fanya kuondoa aibu kwa tasnia ya sheria kwa kufuata haki

Wanasheria wa serikali hahahahaa wakati mwingine huwa najiuliza wanafanya kusudi ama hawajui tu (90% huwa naamini hawajui )
 
Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure).

Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini.

Kosa hilo kisheria linaitwa "wrong citation of the law".

Mawakili wa Serikali wamejenga hoja kwamba hili kosa ni dogo, siyo fatal, yaani mahakama inaweza kulifumbia macho.

Kina Kibatala wanasema ni kosa kubwa, yaani hakuna sheria hiyo waliyotumia.

Jaji kaomba siku nzima kuchambua hoja zote.

Je, ni nini kiko sahihihi?

Je, msimamo wa sheria zetu ukoje kwa kosa hili la wrong citation?

Msimamo uko wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilovumilika. Mahakama haina mamlaka na kesi yako kama umefanya kosa la wrong citation.

Msimamo huu Majaji wote Tanzania wameusimamia.

Msimamo huu ni wa Mahakama ya Rufani kwenye kesi zake nyingi. Moja ya kesi hizo ni ile ya "Chama Cha Walimu Tanzania v. The Attorney General, Civil Application No. 151 of 2008, (Unreported) ".

Katika kesi hii Court of Appeal olitamka wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilosameheka.

Hivyo Mahakama Kuu haina uwezo wa kukiuka maagizi ya Mahakama ya Rufani kama Mawakili wa Serikali wanavyojaribu kuishawishi.

Jaji wa kesi ya Mbowe hana mamlaka ya kwenda kinyume na Mahakama ya Rufani.

Jailing.
Mnisamehe, huyu Jaji ni wa UPE. Kuna kesi zaidi ya maelfu zinasosema hii ommision ni fatla halafu UPE anasema nakwenda kufikiria.
Jiandaeni kisaikolojia, mpuuzi! Hata akija na version ya affirmative, Ile kuwa nahairisha nikatafiti Ni ipuuzi mkubwa
 
Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure).

Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini.

Kosa hilo kisheria linaitwa "wrong citation of the law".

Mawakili wa Serikali wamejenga hoja kwamba hili kosa ni dogo, siyo fatal, yaani mahakama inaweza kulifumbia macho.

Kina Kibatala wanasema ni kosa kubwa, yaani hakuna sheria hiyo waliyotumia.

Jaji kaomba siku nzima kuchambua hoja zote.

Je, ni nini kiko sahihihi?

Je, msimamo wa sheria zetu ukoje kwa kosa hili la wrong citation?

Msimamo uko wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilovumilika. Mahakama haina mamlaka na kesi yako kama umefanya kosa la wrong citation.

Msimamo huu Majaji wote Tanzania wameusimamia.

Msimamo huu ni wa Mahakama ya Rufani kwenye kesi zake nyingi. Moja ya kesi hizo ni ile ya "Chama Cha Walimu Tanzania v. The Attorney General, Civil Application No. 151 of 2008, (Unreported) ".

Katika kesi hii Court of Appeal olitamka wazi kwamba wrong citation ni kosa lisilosameheka.

Hivyo Mahakama Kuu haina uwezo wa kukiuka maagizi ya Mahakama ya Rufani kama Mawakili wa Serikali wanavyojaribu kuishawishi.

Jaji wa kesi ya Mbowe hana mamlaka ya kwenda kinyume na Mahakama ya Rufani.

Jailing.
Shukurani na kongole nyingi ziwakie enyi watu mnaojukumika na kazi hii "noble" ya kuweza kuhakikisha mashauri ya kisheria yanazungumzwa kwa uwazi ili haki ipate kutendeka.

Ndiyo! Yapo mambo yenye kuhijaji uweledi wa kisheria. Lakini kupitia kesi tunapata "factual statements" ambazo mtu anaweza kuziainisha pasipo haja ya kutaka uwepo wa "influenced decision'
 
Lakini kwa hii kesi ya kuchonga usishangae Jaji akaja na maamuzi ya kukubaliana na mawakili wa serikali halafu akajitoa kuendelea kuisikiliza. Kama yule alie hongwa cheo.
unamaana hata hukumu itachongwa? Eehhh Bagosha!!!!! Iiiiiiiii!!!!!
 
Back
Top Bottom