Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

Kama jaj atasimamia haki uko sahihi lakin Kama ni maagizo atapindisha tu
Akitaka heshima milele na milele hata km hatakuwepo teena atende haki.Jina lake litakumbukwa.
Nimejazia tuu nyama, naunga mkono hoja.
 
Natabiri Jaji huyu kujitoa kwenye kesi hii
 
Duuuh!! Sasa mkuu hapa huku kujichanganya kulianzia wapi kwa huyo Ju4 kwenye maelezo yake au? Hawa mawakili wa serikali hii hawakuiona??
 
Maelezo mengine ni kama mnaingilia sana mahakama,nadhani tungeacha tuone maamuzi ya mh jaji.
Jaji ameapa kutenda haki kwa kufuata sheria, kanuni, ushahidi ulioko mbele yake ambao hauna hata chembe ya shaka na kamwe hatofuata maneno ya nje ya ukumbi wa mahakama. Hivi refa akiwa uwanjani kwenye fainali na makelele kibao ya mashabiki kwenye majukwaa yote atashindwa kuamua na kuchezesha mpira kwa haki na kwa mujibu wa kanuni za football??
 
Jamani,nani ananisaidia kwa lugha yetu, napenda sana kujua lakini kilichoandikwa KIGUMU tafadhali mwenye mapenzi mema.Tupo weeeeengi twasubiri.
 
Natamani kujua ni kitu gani kilikosewa na afande Jumanne mpaka tumefikia hapa?
 
Anaenda kuuliza huko juu je afukie hilo tuta au apunguze mwendo
 
Hivi mkuu 'Kisanduku', nikuulize swali: bila ya ushahidi huo kupokelewa mahakamani, kuna kesi tena hapo?

Au itabidi wafungue mashtaka na kuanza kesi nyingine?
 
Mawakili wa serikali ni wasanii sana, wasingeweza kufaulu mitihani yao law school kama wangejibu kwa wrong citation, wanaipotezea mahakama muda wake bure wakijua watabebwa na jaji wao.
hiki kitu tunafundishwa mpk vyuon kuwa statute ikifanyiwa marekebisho tumia latest uki cite dead law nikosa hata kweny mtihan unaramba sifuri...mapema t lkn judge anajifikirisha nini hapo ?
 
Natabiri Jaji huyu kujitoa kwenye kesi hii
Mimi natabiri kuwa Jaji akiamua tofauti na kinyume cha sheria Mh. Mbowe atasema sina imani na Jaji, hivyo naomba abadilishwe. Lengo ni kuonyesha kuwa hawa majaji wanafanya maamuzi kwa kuwasilikiza watu fulani badala ya kufuata sheria. Hivyo mahakama itakuwa ni kama vile inajiabisha yenyewe.
 
Huyu jaji Ni mzaliwa wa muleba kata ya Biirabo mkoani Kagera,Ni mtoto wa kada wa CCM na afisa mtendaji wa kijijji mstaafu,huyu elimu yake na uzoefu wake hakustahili kuwa jaji Bali Hawa Ni wale wateule wa JPM aliyewateua akiwa ndotoni,wrong citation Ni kosa kubwa kisheria na halipaswa kuvumiliwa,jaji anapaswa atende haki kwa dhati ya moyo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…