Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai.
Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho.
Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi:
Sisi ni nani kutokuendelea kumhimiza mheshimiwa Jaji kujisikia kuwiwa kutenda haki?
"Haki ni kwa mujibu wa sheria na haijifichi inapotendeka."
Miadi yetu waungwana, ni kesho 09:00 pale LST.
Inshallah.