Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani.
Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba zimeathiri nini ushahidi
Ukiona hapa tayari yanakuja mazingira kwamba kama hizo simu na hiyo diary hazijaathiri ushahidi basi hoja y akuingia nzao kizimbani inakufa na hivyo pingamizi la kina Kibatala litatupwa nje.
Hii maana yake kumbe mahakama haijui madhara ya kukatazwa diary na simu zisiingizwe kizimbani. Maadam haijui itabidi ielezwe na akina Kibatala na Mallya na wenzao.
Hii maana yake ni nini?
Hapa maana yake ni kama vile sheria hii imetungiwa akina Kibatala, Mallya na mawakili wa Mbowe. Kwa hiyo akina Kibatala wakishindwa kueleza waliathirika vipi maana yake sheria hiyo ni superfluous haina maana.
Hili ni jambo la kipuuzi mahakama inafanya. Jaji na hata shahidi wameona kwamba ni kosa la kisheria kuingia na diary na simu. Sasa hapo tu palitosha kumaliza jambo lile palepale.
Ukisoma ibara ya 107A(1) ya Katiba ya Tanzania inasema mahakama ndiyo chombo cha juu cha utoaji haki. Hivyo suala la kutafsiri sheria na madhara yake siyo la akina Kibatala bali ni jukumu la jaji wa mahakama.
Kibatala na wenzake hawahitaji kusubiriwa hata kwa dakika moja popote penye jambo la kisheria
Shahidi kakamatwa na vitu visivyotakiwa kizimbani, yaani ready handed halafu tuwasubiri kina Kibatala waeleze walivyoathirika. Huu ni upuuzi mahakama inafanya na sisi Thinkers lazima tupige kelele mahakama ijuia tuna uwezo wa kufikiri.
Jambo la pili ni kwamba kama Mahakama imetoa jukumu la akina Kibatala waeleze diary na ile simu imewaathiri vipi basi jaji alipaswa kuwaita wote waikaugue yote waone kiliandikwa ninina kwenye simu kuna mandishi gani, katumiwa na nani meseji zinasemaje.
Jaji hakufanya hivyo, kinyume chake kaamua diary na simu zitunzwe na mahakama bila akina Kibatala kuzikagua.
Kimsingi hapa Jaji kachemka na kosa hili tunaandika humu JF ili lirudi kwake. Kama mahakama imekaa na hizo diary na simu basi tayari kesi ya suala hilo imeshaharibika maana akina Kibatala hawatajua kama mahakama imefuta au kutofuta yalitoyandikwa mle.
Tukumbuke pia juzi tu kulikuwa na mchezo wa mahakama kuwapatia polisi document fulani bila kufuata utaratibu hadi objection ya akina Kibatala ikashinda.
Hivyo, Jumatatu akina Kibatala wawekw tene objection kwamba jaji hana mamlaka tena ya kuamua kuhusu hiyo diary na simu maana alizitunza bila kuzikagua kama inavyotakiwa kwa item yoyote inayobishaniwa mahakamani