Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

Wafanye wamfunge Kisha waende sherekea ushindi na familia zao huku wakigongesha glass

Wakingojea KARMA iwajibu
 
Naunga hoj mkono japo si mwanasheria ile diary ilipaswa ikaguliwe ndio itunzwe.
Nani alikuwa na jukumu la kuhakikisha inafanyika hivyo? Yaani "Diary ikaguliwe" kabla ya kutunzwa? Hilo siyo jukumu la mahakama, maana mawakili wa utetezi wasingeweza kuhimiza hilo lifanyike.
 
Hili swali unamuuliza na mwenye jibu?

Unaweza kueleza kwanini akina Kibatala wasikomae na hili uliloandika hapa, yaani "kuzuiwa kisheria kuingia na vitu hivyo" badala ya kwenda kuthibitisha "vitu hivyo viliathiri vipi kesi ya Mbowe na wenzake"?
 
Back
Top Bottom