Mahakama ni chombo huru kwa wale wenye uwezo wa kuteua ama kutengua nafasi za majaji, na wala si kwa wale wenye uthubutu kupingana nao ama kuonyesha mapungufu yao.
Nani alikuwa na jukumu la kuhakikisha inafanyika hivyo? Yaani "Diary ikaguliwe" kabla ya kutunzwa? Hilo siyo jukumu la mahakama, maana mawakili wa utetezi wasingeweza kuhimiza hilo lifanyike.
Unaweza kueleza kwanini akina Kibatala wasikomae na hili uliloandika hapa, yaani "kuzuiwa kisheria kuingia na vitu hivyo" badala ya kwenda kuthibitisha "vitu hivyo viliathiri vipi kesi ya Mbowe na wenzake"?