Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

Huyu jaji ni non sense
 
Uzuri ni kuwa anacheza mle mle. Uhakiki wa Msemwa sasa unakuja na Lembrus Machine vigezo na masharti vyote vimezingatiwa.

Hatutoki hapa bila SD, OB, MO zinazomhusu Msemwa.

Mbona analo?

..tusubiri Jaji atasema nini kuhusu vielelezo vya shahidi wa utetezi anayeitwa Lembrus.

..nadhani Lembrus amefuta zile "kasoro" ambazo jaji alidai zilimfanya aamue kukataa vielelezo vilivyotolewa na mshtakiwa.
 
Uzuri ni kuwa anacheza mle mle. Uhakiki wa Msemwa sasa unakuja na Lembrus Machine vigezo na masharti vyote vimezingatiwa.

Hatutoki hapa bila SD, OB, MO zinazomhusu Msemwa.

Mbona analo?
Leo wapo huko wanajifyonza wenyewe , wamepigwa na kitu Cha tan 26, hakibebeki,

Cross ya leo ni hatari sana
 
Jaji kikombe hiki akizubaa kitakuwa juu yake - mwenzake Pirato alikitema dakika za mwisho!! Hii kesi mwisho wake kutakuwa na kitu kitatokea katika nchi yetu ..... stay turned.
Albadiri zinamngojea Jaji endapo atathubutu kusigina Sheria kumuonea mbowe pasipo kuwafunga kingai na mahita kwa uonevu waliowatendea walinzi wa mbowe
 
Utawala wa kishetani kabisa

Leo utasikia shahidi ameshindwa kuishawishi mahakama kwanini anadhani yeye binafsi ataathirika kwa kutokuja kutoa ushahidi wake mahakamani.

Kwao issue ni maslahi binafsi.

Hiiiiii bagosha!
 
Albadiri zinamngojea Jaji endapo atathubutu kusigina Sheria kumuonea mbowe pasipo kuwafunga kingai na mahita kwa uonevu waliowatendea walinzi wa mbowe
ni kweli na ndiyo maana watu wa sampuli kama hizi kufa vifo vya hovyo hovyo na familia zao zinazobaki zinasambaratika kabisa, wengine wanakuwa mashoga, wengine wasagaji, wengine majizi, matapeli nk.

Tuombe Mungu atusaidie, kufanya kazi kwenye taasisi za kutoa HAKI unahitaji maombi mno, ni kazi ngumu na ndiyo maana babu yangu alinikataza kabisa kabisa kusomea uhakimu ama upolisi... akanipa wosia niwe karani ama mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…