johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waswahili wanasema unapoupanda mti wa mchongoma miba inakuwa juu hivyo macho yanaona na unaikwepa ILA wakati wa kushuka miiba iko chini na nyayo/miguu haina macho hapo ndio kwenye kasheshe.
Ndipo alipotufikisha nyamwiru !
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ndipo alipotufikisha nyamwiru !
Mungu wa mbinguni awabariki sana!