Kesi ya Mbowe: "Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma" hapo ndipo tulipofika!

Kesi ya Mbowe: "Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma" hapo ndipo tulipofika!

Labda kwa ushahidi unaokuja. Hadi sasa hakuna ushahidi wowote unaomtia Mbowe hatiani!
Walioko gerezani pia walikuwa wanasema hivyo kabla hawajashuhudia mambo mazito, hata sabaya alikuwa anasema hivyo
 
Siko upande wako.
Mie namuombea amfuate Jpm
Akamwambie ile kesi ya mchongo imemrestisha.
Hivi akiishia jumla, ushahidi wake utakua treated vipi? Hapo ndiyo sielewi. Maana kama ukichukuliwa bila cross examination kukamilika, kuna mauongo yanakua yamebaki bila kupondwapondwa.
 
Mtu mtakatifu Mzee Mbowe, mwenye kuipenda nchi yake.
Samia na wana Haramu wenzie wanaDHARIRIKA dhariri..
M/Mungu amtangulie M/Kiti [emoji1422]
Wafungwa ni wazima kabisaa , lakini watesaji wanaugua vibaya !
 
Back
Top Bottom