johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ila tisaidie kumjua nyamwiru.Waswahili wanasema unapoupanda mti wa mchongima miba inakuwa juu hivyo macho yanaona na unaikwepa ILA wakati wa kushuka miiba iko chini na nyayo/miguu haina macho hapo ndio kwenye kasheshe.
Ndipo alipotufikisha nyamwiru
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jina lako linaakisi uyasemayo.Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
Huyu sio chi ni ki [emoji23][emoji23][emoji23]Jina lako linaakisi uyasemayo.
Kisisimulio au kisisimuzi!Jina lako linaakisi uyasemayo.
Kwa kuwa ni mmoja wawatoa ushahidi was michogo au🤔Jina lako linaakisi uyasemayo.
Ndo shida ya mtoto wa mama) kula kulala.Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
Nyamwiru=chui jikeWaswahili wanasema unapoupanda mti wa mchongima miba inakuwa juu hivyo macho yanaona na unaikwepa ILA wakati wa kushuka miiba iko chini na nyayo/miguu haina macho hapo ndio kwenye kasheshe.
Ndipo alipotufikisha nyamwiru.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Bora angekuwa mtoto wa mama tu.Ndo shida ya mtoto wa mama) kula kulala.
Labda watumie ushahidi mwingine. Si huu wa kina Kingai na Swila.Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
Yaani wamtengenezee kesi, wamfunge halafu wamuachie .... hiyo ni huruma gani!!?Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jina lako linaakisi uyasemayo.
Labda kwa ushahidi unaokuja. Hadi sasa hakuna ushahidi wowote unaomtia Mbowe hatiani!Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
Swila kwa kihehe ni nyamwiru!Nyamwiru=chui jike
Waswahili wanasema unapoupanda mti wa mchongima miba inakuwa juu hivyo macho yanaona na unaikwepa ILA wakati wa kushuka miiba iko chini na nyayo/miguu haina macho hapo ndio kwenye kasheshe.
Ndipo alipotufikisha nyamwiru.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Askofu Shoo husema kifutu!Ila tisaidie kumjua nyamwiru.