Kesi ya Mbowe: "Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma" hapo ndipo tulipofika!

Umeandika vizuri sana johnthebaptist

Shahidi muhimu kaifikisha kesi njiapanda. Tumuombee kupona haraka aje aimalizie sehemu yake ya ushahidi ili kesi iendelee.
 
Kuishinda hawawezi, kuifuta mtihani.
Badala ya kumchafua Mbowe wanajichafua wao.
Hadi hapo wamechafuka sana. Wanawasumbua mashahidi wa kutengenezwa hadi wengine wameona isiwe shida, endeleeni na likesi lenu.

Swila amepata shida sana kwenye nafsi yake....
 
Mbowe atafungwa, lakini mama atamsamehe, tena mapema, ana huruma sana
Kwamba atafungwa kwa sababu ni gaidi? Lakini baadaye mama atamsamehe kwa sababu ana huruma sana?
 
Kama alivyopata Yuda Iskarioti baada ya kusaliti!
Lakini wengi wao waliambiwa mara kadhaa kuwa ukweli utawaweka huru, hata walipewa maandiko kuwa kumbusha na kuwaonya. Wengine walishupaza shingo, huku moyoni wakiwa na maumivu kwani walisutwa na dhamira zao.
 
Acha ikae hivyo
 
Hapa tunapata kujua uwezo wa kiakili wa polishi wetu!!
Mpelelezi mkongwe hajui chochote huku anajidai kasoma hadi nje ya nchi!
Anaulizwa vitu vyakazi yake anaomba afafanuliwe kilakitu!!
Mwishowe anasingizia kuugua kashindwa eti kuendelea naushahidi!!
Sasa watamfundisha vipi maana ishu nikwamba uwezo wa akili no mdogo
 
Hivi nyie wana CCM mnamjua Mungu kweli? Bahati nzuri hata Shetani hujiita Mungu,kwa hiyo nyie mungu wenu ni huyu[emoji117][emoji49] na huyu na hawa ndo malaika wenu[emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Majitu katili, wauaji wakubwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…