NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Feb 10, 2022 #41 Itafutika tu, wazungu hamuwajui kishida kitambana mtu.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Feb 10, 2022 #42 CHAWA huru on air again!πππ
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 10, 2022 #43 mshunami said: Labda kwa ushahidi unaokuja. Hadi sasa hakuna ushahidi wowote unaomtia Mbowe hatiani! Click to expand... Walioko gerezani pia walikuwa wanasema hivyo kabla hawajashuhudia mambo mazito, hata sabaya alikuwa anasema hivyo
mshunami said: Labda kwa ushahidi unaokuja. Hadi sasa hakuna ushahidi wowote unaomtia Mbowe hatiani! Click to expand... Walioko gerezani pia walikuwa wanasema hivyo kabla hawajashuhudia mambo mazito, hata sabaya alikuwa anasema hivyo
Mlima simba JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 3,776 Reaction score 6,825 Feb 10, 2022 #44 Huko waliko watakuwa wanalaumiana
Ng'wale JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 4,690 Reaction score 3,399 Feb 10, 2022 #45 LESIRIAMU said: Siko upande wako. Mie namuombea amfuate Jpm Akamwambie ile kesi ya mchongo imemrestisha. Click to expand... Hivi akiishia jumla, ushahidi wake utakua treated vipi? Hapo ndiyo sielewi. Maana kama ukichukuliwa bila cross examination kukamilika, kuna mauongo yanakua yamebaki bila kupondwapondwa.
LESIRIAMU said: Siko upande wako. Mie namuombea amfuate Jpm Akamwambie ile kesi ya mchongo imemrestisha. Click to expand... Hivi akiishia jumla, ushahidi wake utakua treated vipi? Hapo ndiyo sielewi. Maana kama ukichukuliwa bila cross examination kukamilika, kuna mauongo yanakua yamebaki bila kupondwapondwa.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 10, 2022 #46 Trillion said: Mtu mtakatifu Mzee Mbowe, mwenye kuipenda nchi yake. Samia na wana Haramu wenzie wanaDHARIRIKA dhariri.. M/Mungu amtangulie M/Kiti [emoji1422] Click to expand... Wafungwa ni wazima kabisaa , lakini watesaji wanaugua vibaya !
Trillion said: Mtu mtakatifu Mzee Mbowe, mwenye kuipenda nchi yake. Samia na wana Haramu wenzie wanaDHARIRIKA dhariri.. M/Mungu amtangulie M/Kiti [emoji1422] Click to expand... Wafungwa ni wazima kabisaa , lakini watesaji wanaugua vibaya !