Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe

Namshukuru Mungu wetu Kwa amani aliyotujalia na utulivu wa jeshi letu,maana kuna majeshi ya nchi zingine hapa hapa Africa,makomandoo wangewafuata wenzao hao akina Adamoo,na wenzake na kuwachukua hapo hapo mahakamani mchana kweupe,bila kujali walitokaje jeshini.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Kwa hakika ingependeza zaidi
 
Kweli kabisa wenzao wangetua kwa parachute na kuwatoa ila sisi tu wapole na wavumilivu sana Mungu azidi kutupa uvumilivu na awaangazie nuru ya utu na haki wale washikao vyeo au uongozi kwa niaba yetu wamanchi maana Tanzania ni yetu sote pamoja na vizazi vyetu vijavyo hivyo yatupasa kuilinda, kudumisha amani na upendo wake wake wote.
 
Sasa ndugu zangu watanzania, hayo ya Adamoo, Ling'wenya, Urio, Lisu, ni yale tuliyopata mrejesho. Hebu Fikiria ya Ben Sanane, Azron Gwanda, Lijenje ambao wamefutika katika uso wa dunia hii, hawakupata nafasi ya kusimulia hata sentensi moja, walipata mateso gani? walipewa chakula? walitundikwa mshikaki? walifungwa ktk viroba wakiwa hai? walipata mateso gani Mungu wangu! Inawezekana walikutana na watu wakatili zaidi ya Mahita? zaidi ya Goodluck?, zaidi ya Kingai, zaidi ya Jumanne?. Kama hivyo ndivyo, Ben sanane, Azron, Lijenje walimaliza maisha yao katika mazingira gani? Hivi madaraka ya kuongoza watu na nchi yao yanatufanya tuwe wakatili kiasi hiki? Mbona hawajifunzi kuwa wote tutakufa! Mwendazake kweli alitegemea ataiacha hii kesi ya ugaidi feki ukiendelea? Alijua kuwa Tundu Lisu leo atakuwa hai wakati yeye hayupo? Mbona Polepole leo ni mwanaharakati wakati Makamba ni Waziri? Mbona Musiba leo madeni tupu wakati Membe anapeta? Mbona leo Bashiru Aly anauliza maswali ya nyongeza wakati Silinde anamjibu kwa mkato?
Polisi chini ya Siro, mmekwama wapi? kulinda raia namali zake ni kuunda kesi feki? Ofisi ya mwendesha mashitaka na mawakili wa serikali kweli mnadiriki kutunga tanthilia ya mashtaka ya uongo dhidi ya raia wasio na hatia? Yaani raia analipa kodi ili ulipwe mshahara kwa kazi ya kumbambikia kesi? Toka jumatatu hadi ijumaa unafikiria jinsi ya kumuweka raia mwema hatiani kwa kesi ya kumbambikia.
Kesi isiyo na dhamana. Mtu ana mke, watoto, wazazi na ndugu, mnamuweka rumande miezi chungu mbovu kisa hakubaliani na katiba ambayo hata muasisi wa nchi, Baba wa Taifa alisema haifai? Katiba ambayo hata rais wa awamu ya nne aliona haifai akaanza mchakato wa katiba mpya? Katiba ya kusaidia vizazi vijavyo ambapo wewe na upolisi wako hamtakuwepo? Mnaona kutesa raia ni jambo la kawaida? kwa madhambi haya, kwanini ukame usitukumbe, kwanini korona isiue, kwanini wananchi wasiwaombee umauti nyie viongozi!

Mama Samia. Rais mpendwa. sitisha tamthilia hii ya kesi ya ugaidi wa Mbowe. Mbowe sio gaidi. Mbowe ana historia na nchi hii. Baba wa taifa anajua familia ya Mbowe ilichangia nini katika Taifa hili. Wanaopaswa kushitakiwa ni akina Kingai, mahita, Goodluck, Jumanne na Swila. Hao ndio wanatumia vibaya madaraka, wanatesa watu, wanabambikia watu kesi, wanapoteza watu, hatumuoni Lijenje, hatumuoni Urio. Hawa ndio udeal nao. We ni rais wa watu si rais wa polisi. wewe na mwendazake mlipigiwa kura na watu si TIss. Katiba inasema wewe umepewa dhamana na watu si vyombo vya dola. Ondoa Majaji wote wenye vimelea vya TISS katika mahakama zetu. Tiss waendelee na mambo mengine, habari ya kusigina hakiza raia mahakamani zikomeshwe.

Nina uchungu sana moyoni, yaani zaidi ya uchungu wa kujifungua.

Nchi nzuri, yenye hali ya hewa nzuri, milima na mabonde, mito na maziwa, madini, mifugo misitu, manyama lakini VIONGIZI HIVYO KABISA. HOVYO AJABU! UBINAFSI UMETAWALA. UMIMI.
 
Yamepotea matumaini kuwa Samia hahusiki. Kama hatasikia wito wako huu maramoja, yeye, Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck, na Swila wote maji ga nyanja!
 
Back
Top Bottom