- Thread starter
- #21
Kwamba Askari magereza nayeye anakamata watu siku hizi? Nimependa ulisema wakuda wakafunga mlango
Nchi imejaa maajabu ya Mussa 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Askari magereza nayeye anakamata watu siku hizi? Nimependa ulisema wakuda wakafunga mlango
Tunalo lundo la vyuo chini ya TCU lakini kimekosekana hata chuo cha VETA kikamtunuku walau kasatifiketi Kipanya, badala yake wanagawa PhD na uprofesa kama njugu kwa wasiostahili kabisa. Mmoja miaka kadhaa iliyopita alipewa uprofesa lakini hata yeye anaona aibu kuitwa prifesa.
Pole sana, "Haki sio tuu ni lazima itendeke, bali pia ionekane inatendeka".Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Naona safari yetu inazidi kuwa ndefu kila kunapokucha, wameshindwa hoja, wameshindwa kutafsiri sheria, sasa wameamua kuwa wababe, nani wakuwazuia na huu ubabe wao?
Wao wana marungu, magereza, maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, majaji, mahakama, kufungiwa mahakamani kama kuku, na ikibidi risasi za moto kama walivyomfanyia Mbowe pale Kinondoni Mkwajuni, ila Mungu akamnusuru.
Nikiangalia hii hali kwa undani, kumbe sisi ni mateka; tunatawaliwa na serikali ya CCM, hatuna pa kukimbilia, hatuna marungu, mabomu ya machozi, majaji, na mahakama zetu kama wao, tumaini letu limebaki wapi? au tuendelee kuishi kwa matumaini tukiamini iko siku?
Naona wameshatuzoea hatuna chakuwafanya zaidi ya kulalamika mitandaoni, ndio maana wanazidi kukandamiza haki za wengine kwa makusudi ili waendelee kujinufaisha kwa maslahi yao, tunaitwa taifa la kidemokrasia ya vyama vingi bila ya uhalisia wowote, kwani wao hawataki kushindwa.
Kesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
View attachment 2000911
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha sheria.
Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani
Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Tunapoelekea itazuiliwa kuingia wala kuripoti kinachoendelea mahakamani, hakuna mtu anaependa kuaibika.Kujaa mahakamani hakutomsaidia Mbowe kushinda kesi yake ,waacheni wanasheria wamsaidie nao baada ya kumsaidia wanafanya maigizo na mikogo siku inatoka hukumu vilio vitatawala mahakamani ,ukiwa na kesi mahakamani jua kuna mstari mdogo sana unakutenganisha ww ,jela na uraiani .
Tunapoelekea itazuiliwa kuingia wala kuripoti kinachoendelea mahakamani, hakuna mtu anaependa kuaibika.
Hivi hamna kazi ya kufanya nyie CHADEMAKesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
View attachment 2000911
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha sheria.
Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani
Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Eeh kaongea huyu....au mnatania
Eeh kaongea huyu....au mnatania
Yana mwisho...
Wanasheria wake ndio wanampigilia msumari wapiga deal hao
Hahahaha[emoji23]
Halafu eti tuna mtu kakaa hapo anajiita CJ, Rubbish!Kesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
View attachment 2000911
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha sheria.
Kinara wa kuingilia mhimili huu ni kama anavyoonekana. Huyu bwana ambaye leo anaaminiwa kwa kila shitaka lake mahakamani.
Haki zipi ziendelee kutegemewa kutokea mahakamani?
Halafu eti tuna mtu kakaa hapo anajiita CJ, Rubbish!
Nitakapokuwa rais mwaka 2035 kolikoli nao mahakamani.Hata chief Hangaya, Majaliwa na Mh. Mpango hawadhani hala hala zinaweza kuwahusu.
Nani aijuaye kesho? Kwanini kama binadamu tusitendeane haki na usawa tu?