Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

Mdogo mdogo Mungu mkubwa. Barua hii iingizwe mahakamani kwa namna ile ile DR isiyojulikana ilivyoingizwa.

Mwanzo wa ngoma si walisema kuwa lele?
 
Mdogo mdogo Mungu mkubwa. Barua hii iingizwe mahakamani kwa namna ile ile DR isiyojulikana ilivyoingizwa mahakamani.

Mwanzo wa ngoma si walisema kuwa lele?
Jaji kakubali kunaswa kwenye mtego wa utetezi. Alifanya maamuzi bila kufikiria mbele mambo yanaweza geuka. Katika hilo pingamizi la wakili wa serikali, jaji ana mtihani mzito.
 
Hawa wameshapigwa upofu tayari.
Mungu yupo kazini.
 
Makoye gete ng'wanang'wise
 
Ndiyo maana nilipingana sana na waliotaka hii kesi ifutwe, wacha madhalim waumbuke na upumbavu wao. Wacha upepo uvume tuzione nyeti za kuku.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa hii kesi whatever the outcome will be kitu kimoja ni dhahiri imefumua mambo mengi sanaa ya utendaji wa jeshi letu la polisi... Haya mambo yaliyoibuliwa kwenye hii kesi huko mbele yatakuwa ni basis ya kutosha kabisa ya kufanya major reforms kwenye mfumo wetu wa haki na sheria, ikiwemo jeshi la polisi.
 
Naomba kujua endapo Jamuhuri ikishidwa kuthibitisha ugaidi wa kina Mbowe ,mbali kuaachiwa huru na mahakama, kina Mbowe wanaweza kudai damage?
Mkuu ni leo tuu waziri Simba chawene amenukuliwa akisema kwamba ikitokea mtu akafungwa kimakosa gerezani hawezi kudai fidia yoyote kwa sababu hakuna sheria hiyo!! Can you imagine uhukumiwe jela maisha au miaka 30 halafu after 20 years in prison wagundue kwamba hukumu ilikuwa ya kimakosa hufidiwi chochote daaah. Sasa cha kujiuliza ni kwamba OK hiyo sheria haipo swali ni tokea lini hiyo sheria haipo? Kama haipo wao hawaoni ni muhimu kuwa na hiyo sheria na hivyo ipelekwe tena kwa hati ya dharura?? Kama waziri unaona ufahari gani kutangazia umma kwamba hatuna sheria kama hiyo??
 
Duuh!
 
Aiseeee kama yule Matata daaah jamaa anapangua hoja ni hatari..
 
Jaji kakubali kunaswa kwenye mtego wa utetezi. Alifanya maamuzi bila kufikiria mbele mambo yanaweza geuka. Katika hilo pingamizi la wakili wa serikali, jaji ana mtihani mzito.
Kama tumeambiwa wali temper na ile DR majuzi kwamba pages zimeungwa ungwa watashindwaje kufanya the same kwa hizi documents anazo hitaji Lingwenya? Am just curious...
 
CCM inawaona watanzania wote ni mafala..hawajui lolote juu ya haki na sheria za nchi. .ogopa sana mtu anayebakia kimya...

Maamuzi ya kesi ndiyo itaamua hatma ya Tanzania mpya..

Kesi inawagusa watanzania wengi hata wasio wanachama wa chama chochote, wao ccm wanafikiri wanaikoma CDM..mlio karibu nao wapeni ushauri mapema.

Kumfunga mtu maisha ama kumnyonga bila hatia hilo halitawezekana milele..Yesu ama Mtume Mohamad atatukuta vitani...enough is enough.

Its only justice will save this nation kwa kesi hii.
 
Jaji kakubali kunaswa kwenye mtego wa utetezi. Alifanya maamuzi bila kufikiria mbele mambo yanaweza geuka. Katika hilo pingamizi la wakili wa serikali, jaji ana mtihani mzito.
Hapo mtego,asipoipokea hiyo barua utasikia washitakiwa hawana imani naye.mfumo wa barua aliyopokea mwanzo imewapa nguvu utetezi
 
Kama tumeambiwa wali temper na ile DR majuzi kwamba pages zimeungwa ungwa watashindwaje kufanya the same kwa hizi documents anazo hitaji Lingwenya? Am just curious...

Document moja wameunga unga. Mazaga zaga haya si machache. Kuyapotezea synchronize yote mbona shughuli?

La kuvunda halina ubani mjomba. Yakifika mazaga zaga 4 watakuwa hawana ubavu hawa.

Kumbuka huu ni mwanzo tu na mwanzo wa ngoma ni lele.
 
Sure[emoji3577]
 
Ndiyo tatizo lilianzia kule uchaguzi kuporwa, kila kitu kimekua hovyo hapa nchini,, anzia pembejeo, vifaa vya ujenzi, miundo mbinu ya nchi mibovu, viongozi wengi wao hawajitambua, jeshi la polisi ovyo na mengineyo
 
[emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…