- Thread starter
- #61
Na Jaji akaongeza kwa upole, "mbona mnanipa wakati mgumu"
Inaonyesha hii barua imewashtua Jaji na mawakili wa serikali.
Na bado! Inavyoonekana hii kesi itaishia hapa kwa Ling'wenya.
Hapa kunaweza kuwapo barua hata zaidi ya 1000 kama hizi tena zenye kuzingatia vigezo na masharti hata kuliko ya lile zuzu Chaula 😁😁. Zote zikiomba yakiwamo OC, MO, SD nk.
Kumbuka DW #2 Adamoo na DW#3 Shemeji yetu kipenzi chake Komando Ling'wenya nao wako kwenye bomba wanakuja.
Nao wanaweza kuja na barua kama hii hii kama mashahidi.
Pandora box liko wazi bwerere.
Hapa punda na afe tu ila mzigo ufike.