Wakili mwandamizi wa Jamhuri ya Tanzania, Mh. Chavula alichofanya ni kuwarejesha mawakili wa Mbowe kwenye methali maarufu na chungu inayohusu the principle of impartiality of the court'. Methali hii ya kizungu inasema: 'The court is not your mother to grant what is not pleaded or asked for!'
Na akaendelea kuwakumbusha mawakili hao wa Mbowe ambao wamegawanyika kwa sababu za kimasilahi, kwamba mahakama inayosikiliza kesi hiyo ni mahakama ya Jamhuri ya Tanzania na yeye ni wakili mwandamizi wa Jamhuri hiyo.
Akaendelea kuionesha mahakama kwamba mawakili wa Mbowe wameleta takataka wakiomba mahakama ipokee takataka hiyo kama kielelezo cha shaidi wao Ling'wenya. Yaani wanataka kuigeuza mahakama hiyo kuwa dampo la matakataka.
Congradulations sana Mr Chavula kwa kuleta hoja za kisomi mahakamani zenye mvuto badala ya blablaa na kelele za wale wa upande mwingine.
Huyu bwana hana haja na haki. Yuko kimaslahi zaidi. Yuko kazini na cha muhimu kwake ni kile kiingiacho mfukoni mwake tu. Vilivyobakia mtajiju.
Huyu bwana anaweza kuwa accomplice mzuri tu kwenye lolote. Huyu bwana hana tofauti na mumiani.
Kinachojali kwake ni mapato yake. Huyu bwana hawezi kuaminiki panapo pesa. Ananunulika.
Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?
Kwa huyu bwana hapendwi mtu. Ila labda pochi na ahadi za maslahi zaidi.
Kwa wakili huyu kutokea Kaskazini marupurupu yake ni muhimu zaidi kuliko maisha ya awaye yote asiyemhusu.
WS Chavula ni advocate wa kuwa mahabusu na wafungwa wasistahili haki zozote.
Huyu bwana akiwa ni bwana jela au Jaji, utakuwa ndiyo mwisho wa neno haki kwa mtuhumiwa au mfungwa yeyote.
Nani asiyejua mahakamani kuna tofauti ya kushinda kesi na kupata haki?
In short WS Chaula ni uncultured, unprincipled, egocentric, immoral, unethical, unscrupulous "human being" asiyekuwa na chembe ya utu.
No wonder Chaula anawakilisha walioko kwenye sufuria hili:
Vinginevyo isingigekuwa ajabu kwa mteja wake kumkana forth with!
Asante kwa utambulisho wako kumhusu wakili msomi huyu.
"Kwa njaa zake anaweza kufanya lolote."
Yaani tumemuelewa vizuri mno kuliko hata maelezo yako.