Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

Wambie na wakumbushe kuwa vita ya wanawake wanaogombea mwanaume ina viwanja viwili tu- jikoni na Kitandani- nje ya hapo ni kupoteza mda tu. Waache washinde humu na post za kejeri na matamanio- mwisho wa siku Mbowe atafungwa maisha.
Aahahahahahaha! Na vipost uchwara vyao havitamsaidia chochote!
 
Umeona popote tunaongelea msaada kwa mshitakiwa yeyote?

Jifunze kutumia lugha stahiki kuwasiliana na watu usiowajua.

Ya vijiweni baki nayo huko huko!
Ahahahahahahaha! Kama imekuuma Dogo, acha kupost! Ahahahahahahahah!!!
 
Aisee kuna mahali nimesoma kwenye msaafu kwamba "waovu wote wanalaanika na vizazi vyao mpaka kizazi cha kumi". Ogopa sana kutenda maovu kwa kukusudia".

Mkuu au utakuwa umesoma hapa?

"Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha hao wanichukiao."

Kutoka 20:1 -->

Wakili mwandamizi wa Jamhuri ya Tanzania, Mh. Chavula alichofanya ni kuwarejesha mawakili wa Mbowe kwenye methali maarufu na chungu inayohusu the principle of impartiality of the court'. Methali hii ya kizungu inasema: 'The court is not your mother to grant what is not pleaded or asked for!'

Na akaendelea kuwakumbusha mawakili hao wa Mbowe ambao wamegawanyika kwa sababu za kimasilahi, kwamba mahakama inayosikiliza kesi hiyo ni mahakama ya Jamhuri ya Tanzania na yeye ni wakili mwandamizi wa Jamhuri hiyo.

Akaendelea kuionesha mahakama kwamba mawakili wa Mbowe wameleta takataka wakiomba mahakama ipokee takataka hiyo kama kielelezo cha shaidi wao Ling'wenya. Yaani wanataka kuigeuza mahakama hiyo kuwa dampo la matakataka.

Congradulations sana Mr Chavula kwa kuleta hoja za kisomi mahakamani zenye mvuto badala ya blablaa na kelele za wale wa upande mwingine.
Mbona umeandika kwa unyonge sana nini tatizo?
 
Haja panick bali amechoshwa na blablaa na makele ya akina Kibatala yasiyo ya kisomi cha sheria bali lenye lengo la kuchelewesha kesi ili waendelee kuvuta mpunga toka chadema. Hata Jaji inaelekea naye kawachoka na ameaanza kumdhibiti Kibatala na kelele zake. Mr Chavula kaamua kuanza kuwapa kisomo cha sheria. Wengi wamemuelewa (isipokuwa Kibatala) na wameanza kuongea lugha moja na kesi imeongezeka mwendo.

Kwamba?

"Wengi wamemuelewa (isipokuwa Kibatala) na wameanza kuongea lugha moja na kesi imeongezeka mwendo."

😂😂

Hiiiiii bagosha!
 
Ahahahahahahaha! Kama imekuuma Dogo, acha kupost! Ahahahahahahahah!!!

Tuache kupost kwa sababu ya vidampa wa vijiweni?

Kwani ignore list Mod waliweka ya nini? Au unadhani hatuijui kazi yake?

😁😁

IMG_20211127_130633_830.jpg
 
Matata yuko vizuri, kuna kisu kingine kinaitwa Mtobesya hii combination inawapa tabu jamhuri wanajuta.

Hii kesi haionekani kutoka hapa ilipo salama.

Haya ndiyo yale wanaita "mkwamo."

Hapa ni mpaka kieleweke.
 
Mahakama ni kwa kina Kingai na kesi za gushi, wao na team mawakili wa serikali na majaji Ccm. Ushenzi kabisa huu.
 
Wakili mwandamizi wa Jamhuri ya Tanzania, Mh. Chavula alichofanya ni kuwarejesha mawakili wa Mbowe kwenye methali maarufu na chungu inayohusu the principle of impartiality of the court'. Methali hii ya kizungu inasema: 'The court is not your mother to grant what is not pleaded or asked for!'

Na akaendelea kuwakumbusha mawakili hao wa Mbowe ambao wamegawanyika kwa sababu za kimasilahi, kwamba mahakama inayosikiliza kesi hiyo ni mahakama ya Jamhuri ya Tanzania na yeye ni wakili mwandamizi wa Jamhuri hiyo.

Akaendelea kuionesha mahakama kwamba mawakili wa Mbowe wameleta takataka wakiomba mahakama ipokee takataka hiyo kama kielelezo cha shaidi wao Ling'wenya. Yaani wanataka kuigeuza mahakama hiyo kuwa dampo la matakataka.

Congradulations sana Mr Chavula kwa kuleta hoja za kisomi mahakamani zenye mvuto badala ya blablaa na kelele za wale wa upande mwingine.
Mawakili wa serikali wako pumped to the top na motivated na dharau za Kina Kibatala wanaodhani wanaadvantage over them while they are not- BRAVO mawakili wa serikali
 
Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.

Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.

Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaothamini haki za watu yakiwamo maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya wenye ubinafsi wao wenye kupitiliza.

"Vita ni vita Mura!"

Tumesikia "mahakamani si kwa mama zetu." Bila shaka "mahakamani ni kwa mama zao." Wao pia, kumbe ni mawakili wa mahakama.

Zimeombwa tu, Movement Order (MO), Station Diary (SD) na Occurrence Book (OB) kwa ajili ya kumkagua D/C Msemwa. kimeumana! Hakuna kuwaachia.

View attachment 2025203

"Waombeni pia na ma CCTV recordings njia yote RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni. Pia data kama hizo tokea makampuni ya simu."

Ipelekwe miito ya kuwaita wote na vyote vinavyoweza kusaidia kuthibitisha lolote. Asiachwe mtu au kitu tafadhali.

Iwe ni Hangaya, Sirro, Urio, Ahadi, Chungulu, Sabaya, Lijenje, nk. Tuonane Kizimbani. Vigezo na masharti yakizingatiwa.

Wanahofia nini nyendo za D/C Msemwa kuhakikiwa?

Si kuwa ni kwa sababu: "the guilty are always afraid?"

--------
Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe
The court is not your mother
 
Back
Top Bottom