Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

Jaji lazima ataikubali iingie

Ingependeza zaidi lakini uwezekano huo ni ndogo. Maamuzi yanakuwa kama yanatokea nje ya mahakama.

Ila ajue akiipiga kumbo itarudi kama ilivyorudi DR batili.
 
k
punguza hasira, kwenye kesi hakutakiwi hasira, hata hivyo mnaokuwa na hasira ni ninyi laymen, ila mawakili wasomi huwa hawatawaliwi na hasira na kutapatapa. nashauri mawakili wa mbowe wazingatie zaidi taaluma na ufundi wa kisheria kuliko siasa kama za hawa wanachadema mbofumbofu.
 

Hasira unazisoma wapi wewe usiyekuwa layman wala mwanaccm mbofumbofu?

😂😂

Hiiiiii bagosha!
 
Hii kesi iwe ni ya kughushi au hapana lakini maamuzi yake yatakuwa na mianya mingi sana.

Huwa najiuliza kwanini hao wakamataji hawakusubiri hadi hatua za wazi ushahidi pasi na shaka?

Walicho fanya kina sababisha raia wengi tuone kuwa serikali inaonea baadhi ya raia wake.

Haya ngoja tuone.
 

Serikali inayoonea raia wake kwa uhalali wa nani?

Serikali hii inapaswa kujitafakari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…