Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
acha mbwembwe, kasi ipo mahakamani, kama mawakili wenu hawana uwezo kuwashinda mawakili wa mbowe, ajirini wengine. kwa taarifa yako, mahakamani ukiwa na mawakili wazuri kesi ikiwa ya kubumba kwenye cross examination utawadaka tu na utaharibu kesi yao. ndicho wanachotakiwa kufanya mawakili wa mbowe. ninachokuhakikishia ni kwamba wale mawakili wa serikali wamepelekwa pale wamechunjwa, wote wapo juu.Haki na udhwalimu havikai upande mmoja.
Kuna aliyewauwa kina Lijenje, Ben, Azory na wengine. Bado akaweka na wengine kwenye viroba. Akapanga mazishi ya watu walio hai. Akajiita mzalendo.
Atamfundisha nani uzalendo mtu huyo?
Ninakazia, haki na udhwalimu havikai upande mmoja. Chagua upande wako ubakie huko huko.
pili, huyo unayesema ameuawa si mwanajeshi? una uhakika kauawa au karudi jeshini? hao makomandoo wa mbowe una uhakika kuwa mioyoni mwao wamekikana kiapo cha kufa na kupona cha kuwa upande wa serikali? chadema ni vipofu sana.