Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

acha mbwembwe, kasi ipo mahakamani, kama mawakili wenu hawana uwezo kuwashinda mawakili wa mbowe, ajirini wengine. kwa taarifa yako, mahakamani ukiwa na mawakili wazuri kesi ikiwa ya kubumba kwenye cross examination utawadaka tu na utaharibu kesi yao. ndicho wanachotakiwa kufanya mawakili wa mbowe. ninachokuhakikishia ni kwamba wale mawakili wa serikali wamepelekwa pale wamechunjwa, wote wapo juu.

pili, huyo unayesema ameuawa si mwanajeshi? una uhakika kauawa au karudi jeshini? hao makomandoo wa mbowe una uhakika kuwa mioyoni mwao wamekikana kiapo cha kufa na kupona cha kuwa upande wa serikali? chadema ni vipofu sana.
 
Jaji naye katoka Mwanza. Yeye ni mzoefu kwenye nini?

Si mseme tu per diem hizi ni sehemu ya marupurupu kwenye kufanikisha yaliyopo tayari mifukoni?
hayo ni mambo ya kawaida kwenye serikali, ni stratejia tu. kuna baadhi ya kesi serikali huwa inalazimika kusafirisha watu toka sehemu nyingine hasa kama kesi hiyo ni ya muhimu ili kuonyesha umma kwamba haki imetendeka. ndio maana wakawasafirisha hao mawakili toka mikoa mingine kwasababu walioko hapo dsm wasingeweza peke yao. msiwapangie,ninyi jipangeni kwa mawakili wenu.
 

 
komandoo, tena sio mwanajeshi wa kawaida, ni komandoo, alikula kiapo cha kufa na kupona kuwa upande wa serikali, halafu watu wanafikiri atakua upande wao? mnajuaje kama amerejeshwa jeshini huko makambini kisirisiri? kwani familia yake imesema hapatikani? chadema mnawaamini watu walio upande wa competitors wenu, na mna imani nao kwelikweli. vipofu ninyi.
 

Si unajua kuna majaji wa kimkakati? Ma WS wa kimkakati? (Naibu) Msajili wa Mahakama wa Kimkakati? Na wa Kimkakati .... lukuki, karibu kila mahali, wengi wao wakipenyezwa kipindi cha jiwe?

Si unajua ile DR ya Msemwa wala hakuiomba wala kusaini popote kuipokea?

Si unajua ilikuwa DR hiyo hiyo iliyokuwa tayari tayari mahakamani kwa ajili ya shahidi Jumanne kuitumia, hali ikipaswa kuwa store?

Ngonjera zingine hizi si waambieni ndege wa angani?

Mburumundu wengi huko wapo japo wanaweza kuwasikiliza!
 
Wanakomaa ili wapate nafasi kama ya Tulia !
 

Ndiyo mseme alipo, ili tuwaulize walipi Ben na Azory pia. Kuna na wa kwenye viroba. Kuna na Lissu mliyempangia mazishi akiwa hai. Wapo wengi waliotoweka.

Mmoja mmoja maelezo kamili tafadhali.

Enhe, anza na Lijenje. Yuko wapi Moses Lijenje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…