Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?

Tanzania ipo kwenye auto-pilot.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii kesi ni biashara kwa watu hadi wamalizie maghorofa yao ndo itaisha,unajua wanalipwa posho ngapi kwa siku Ili kuendesha?
Wapo watu kazini kubuni mbinu za kutafuna kodi zetu
Kwa pesa ya dhuluma rafiki yangu gorofa litakuangukia au utaungulia ndani. . Dhuluma ni mbaya ni kwa vile mioyo yetu imejazwa na ushetani tunashindwa kujitambua mpaka hapo tutapokuwa kwenye mateso ndipo tutatambua kwamba tuliwatendea wengine ubaya na sasa tunapata milipo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…