B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 1, 2021 #1 Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani. Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo: Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa mheshimiwa Jaji katika namna ya kupigiwa mfano. Kudos Lembrus Mchome umetuwakilisha wengi kwani hata Mheshimiwa rais haki ni moja ya maneno kipenzi: "Haki huinua taifa."
Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani. Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo: Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa mheshimiwa Jaji katika namna ya kupigiwa mfano. Kudos Lembrus Mchome umetuwakilisha wengi kwani hata Mheshimiwa rais haki ni moja ya maneno kipenzi: "Haki huinua taifa."
lee Vladimir cleef JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 9,571 Reaction score 35,475 Dec 1, 2021 #2 Ila huyu shahid wa leo alikua mbabe kwelikweli Hadi Wakili wa serikali akawa anamshitaki kwa Jaji. Majibu yake yalikua ya kibabe mno. Aliniacha hoi pale aliposema hata angekua ni mwana CCm anaonewa angemtetea tu.
Ila huyu shahid wa leo alikua mbabe kwelikweli Hadi Wakili wa serikali akawa anamshitaki kwa Jaji. Majibu yake yalikua ya kibabe mno. Aliniacha hoi pale aliposema hata angekua ni mwana CCm anaonewa angemtetea tu.
E Espab JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 279 Reaction score 379 Dec 1, 2021 #3 Respect sana
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 1, 2021 Thread starter #4 lee van cliff said: Ila huyu shahid wa leo alikua mbabe kwelikweli Hadi Wakili wa serikali akawa anamshitaki kwa Jaji. Majibu yake yalikua ya kibabe mno. Aliniacha hoi pale aliposema hata angekua ni mwana CCm anaonewa angemtetea tu. Click to expand... WS waljaribu sana kumchonganisha shahidi na Jaji lakini imebidi Jaji amwelewe. Suala zima la haki linagomba kwenye mahakama hii. Message sent and successfully was delivered.
lee van cliff said: Ila huyu shahid wa leo alikua mbabe kwelikweli Hadi Wakili wa serikali akawa anamshitaki kwa Jaji. Majibu yake yalikua ya kibabe mno. Aliniacha hoi pale aliposema hata angekua ni mwana CCm anaonewa angemtetea tu. Click to expand... WS waljaribu sana kumchonganisha shahidi na Jaji lakini imebidi Jaji amwelewe. Suala zima la haki linagomba kwenye mahakama hii. Message sent and successfully was delivered.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 1, 2021 #5 Ngoja tuone...