Kesi ya Mbowe: Miito ya Haki Kutendeka inaposikika Mahakamani

Kesi ya Mbowe: Miito ya Haki Kutendeka inaposikika Mahakamani

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani.

Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo:

IMG_20211201_124920_909.jpg

Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa mheshimiwa Jaji katika namna ya kupigiwa mfano.

IMG_20211201_205712_369.jpg

Kudos Lembrus Mchome umetuwakilisha wengi kwani hata Mheshimiwa rais haki ni moja ya maneno kipenzi:

"Haki huinua taifa."
 
Ila huyu shahid wa leo alikua mbabe kwelikweli Hadi Wakili wa serikali akawa anamshitaki kwa Jaji.

Majibu yake yalikua ya kibabe mno.
Aliniacha hoi pale aliposema hata angekua ni mwana CCm anaonewa angemtetea tu.
 
WS waljaribu sana kumchonganisha shahidi na Jaji lakini imebidi Jaji amwelewe.

Suala zima la haki linagomba kwenye mahakama hii.

Message sent and successfully was delivered.
 
Back
Top Bottom