Hiyo yote ilikuwa ni master mind ya utawala wa Magufuli. Chini ya utawala wake haki ya kikatiba ya faragha Ni moja ya Sheria zilizovunjwa sana. Wahanga Ni wengi, Kama Membe, Makambas, Nape, Kinana, Mawaziri wote, wakuu wa mikoa, Wilaya nakadhalika.
Ninachojua faragha ya mtu inaweza kuingiliwa kwa Amri ya Mahakama. Kilichofanyika Chini ya Magufuli Ni uharamia na ubakaji wa Hali ya juu wa matakwa ya katiba.
Na Kuna uwezekano hata hacking ilifanyika Sana kwenye anuani za watu. Hii kesi itatupa mengi, Tuendelee kufuatilia. Lakini at least tumeshaona jinsi MITANDAO hii ya simu, Voda(kipindi Cha kina Membe) na Tigo ilivyo fragile and weak kutunza faragha za wateja wao.
Ni JAMIIFORUMS pekee, so far, ndio walioonesha ukomavu, uelewa na ufahamu katika kutetea faragha ya wateja wao. Heko
Maxi Mello.