Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

Lkn pia kwa sehem kubwa cross examination ya mawakili wa serikali haijafanyika. Nimeona kama wameamka na wanauliza habari za msingi sana
Hii kesi ni mpango wa Mungu imekuwa ni darasa HURU la bure la sheria na haki za mtuhumiwa kwa jamii yote
 
Hivi ni maji huongezwa maharage au ni maharage huongezwa maji?
 
Kesi hii inapaswa kuendelea ili kupata ukweli halisi.Inaonekana Kuna Vita Kati ya jeshi la wananchi na TISS waliovaa mavazi ya kipolisi.Haiwezekani makomandoo wafanyiwe uhuni kiasi hiki halafu Mkuu wa majeshi awe ofisini,anapaswa atoke,hofu yetu Siku JWTZ likigawanyika itakuwa hatari.Leo MOSSES LIJENJE anakwenda kufahamika wapi alitupwa,luteni URIO kwa Nini aliteswa.ushauri wetu kwa CDF kaa na vijana wako ili kuimaliza sintofahamu hii mapema,ili yasitokee ya GUINEA katika TAIFA .
 
Humo humo kuna polisi la jeshi humohumo Tiss ya jeshi
 
Kesi inaleta hofu hata kwa watawala... "Wakati hukuwepo nchini niliogopa sana, ...." Kauli ya VP,Dr Mpango,wakati anamkaribisha Rais
 
matatizo yoote haya aliesababisha ni mwenda zake na kundi lake lile alilolipa kibuli na kujiona watu ote wakwao na wanawafanya wanavyotaka.
 
mimi huyo maupepo na muamini kidooga sana.maana yupo kwenye lile kundi yule bwana alieondoka.
 
nakumbuka miaka ile watu wananyonywa damu na kuchunwa ngozi.
miili iliokotwa na wahanga hawakulipwa chochote hakuna aliefuatilia.

kuna wakati wakajichanga wakamnyonya damu mtoto wa kuu mmoja wa kikosi fulani cha jwtz.

alichokifanya mkuu yule kwenye eneo lile.nafikili ndio ikawa mwisho wa watu kunyonywa damu.

wakabadili mbinu na kutaka watu wajitolee.

na hawa hivyohivyo.kunasiku atafanyiwa ubaya mtoto wa levo zoa, ndio patachimbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…