Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Mkuu, mimi kila nikishuhudia kifo cha mapolisi kwa risasi huwa najifanyia tafrija kujipongeza. Hili ni GENGE la MAHARAMIA wenye baraka za Serikali ya kidhalimu.
 
Nitajie wakili yeyote wa Serikali ambaye ana uelewa wa sheria japo nusu ya Kibatala... Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa mapapai
Sio kweli kuwa mawakili wa serikali hawajui sheria, shida ni kesi wanayoiendesha. Fuatilia kesi ya Sabaya uone walivyochangamka. Tena mawakili wa Sabaya ndio wako na wakati mgumu sana
Fuatilia hiyo habari na link zake uone wanavyoupiga mwingi.
 
Maonezi yanapo zidi nchini chini ya polisi nihatari kwa mstakabali wa taifa hasa watendwa watakapo choka na uonevu huo.

Polisi wanapaswa kubadilika pakubwa ,kwani vidole Amwanavyo nyooshewa vimekua vingi mno!
 
Ninaamini huyu Komando siyo mpumbavu kama hawa waliomtesa. Mungu atamsimamia na atawasamehe hawa Mumiani wote
 
Kana kwamba nchi hii ina makomandoo hao tu..
Wathubutu waone!
 
Kwenye hii kesi magaidi wamejulikana ,magaidi wanateka ,wanatesa ,kuchoma watu na bisibisi ,kuning'iniza ,kubambikia watu silaha na unga. Kwanza hawajafuata procedures za ukamataji ,hao ndo magaidi halisi ,raia wasio na hatia wametekwa na magaidi.

Dalili zinaonyesha Hawa ndo wasiojulikana maana njia zote walizotumia ndo hizo
 
Yule wakili alkuwa anazunguka kweli..swali anauliza mwishon halieleweki, yule nae hamna kitu, yupo mmoja upande wa serikal yupo vzr
 
na amini kwa qualified trained comando hawezi kufanya hiki unachofikiria sana sana ataionea huruma familia yake na kuwasamehe wote.
 
ACHA WOGA WW
 
Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Maswali mengi ni ya kumchanganya tu shahidi, hayakuwa na mantiki yoyote.
 
na amini kwa qualified trained comando hawezi kufanya hiki unachofikiria sana sana ataionea huruma familia yake na kuwasamehe wote.
Lengo la hao WAHUNI akina Kingai na MAGENGE YAKE ilikuwa ni kumpoteza kabisa huyo Komandoo wetu, ndio sababu walitenda huo UHARAMIA kwa kujiamini namna hiyo. Mission iligeuka tu, walipotakiwa kumuunganisha Mbowe kwenye kesi.

Kwa matendo hayo ya KINYAMA NA HOVYO, kisasi hakiepukiki. Trust me, time will tell..
 
Nchi hii kweli inamaajabu yake
Kama comandoo akageuka bausa wa kulinda hadi walevi
Ipo siku makomandoo wa kibongo watawalinda mpaka wakina ambar. Ruti,harmorapa,twaha kiduku,dula mbabe,wema sepetu...nk
Au huyu comandioo atakuwa comandoo mzee mstaafu..
Eheee comando,eehh comandoo., Comandoo tofari kichwani tiih..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…