Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Kingai Ni komando[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tanzania haiishiwi maajabu, unaweza kuta kweli na yeye ni komandoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
We acha tu, inaonyesha ameongea aliyokumbana nayo tokea wamkamate
 
Mkuu ni kawaida ya kenge kutoamini kama ameumia hadi aione damu inamtoka masikioni
 
Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Hapo hakuna cha kubumba mkuu
 
Tenda wema bila kuchoka ndugu
 
Si tu hvyo! Nadhan Kuna hati hati pia ya kuleta uhasama Kati ya jwtz vs PT endapo viongozi wasipokuwa makini!
 
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.

Walioteswa nao wana familia zao, zinawategemea na kuwapenda pia.
Kuwatesa wao ni kutesa familia zao.

Tusubiri haki ipatikane baada ya mahakama kuthibitisha kwa na hatia au innocent.

Kila mtu anastahili kutendewa wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…