Tanzania haiishiwi maajabu, unaweza kuta kweli na yeye ni komandooKingai Ni komando[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania haiishiwi maajabu, unaweza kuta kweli na yeye ni komandooKingai Ni komando[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
We acha tu, inaonyesha ameongea aliyokumbana nayo tokea wamkamateNimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Wakili wa Serikali (W.S) hakuwa na maswali ya maana.Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Mkuu ni kawaida ya kenge kutoamini kama ameumia hadi aione damu inamtoka masikioniLeo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.
Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.
Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.
Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.
Jamani tutende wema
Kingai ajiandaeK
Kwa hiyo unataka kusemaje?
Komandoo wa polis umlinganishe na komandoo wa jwtz?Kwani hao waliomtesa siyo makomandoo?
Hapo hakuna cha kubumba mkuuNimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Thubuutuuuu zake siyo kwa komandoo wa jwKingai Ni komando[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tenda wema bila kuchoka nduguLeo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.
Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.
Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.
Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.
Jamani tutende wema
Si tu hvyo! Nadhan Kuna hati hati pia ya kuleta uhasama Kati ya jwtz vs PT endapo viongozi wasipokuwa makini!Leo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.
Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.
Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.
Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.
Jamani tutende wema
Bwashe ukimwangalia Kingai kwa karibu anawalakin kwenye wajihi wake. Wewe unamwelewa kidogo?Kwani hao waliomtesa siyo makomandoo?
Unadhani ukomando ni ma.tako kila mtu anayo?Kwani hao waliomtesa siyo makomandoo?
Akili za CCM daaaah!Haya onesha alipojichanganya!onesha maswali mengi aliyoilizwa na Wakili wa serikali.Inshort wewe ni miongoni mwa mawakala wa shetaniTunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Nitajie wakili yeyote wa Serikali ambaye ana uelewa wa sheria japo nusu ya Kibatala... Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa mapapaiumekariri dogo.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.