Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabsaHuu ushahidi kiboko
Hatari sana kwa lilipofikia limepiteza samani mbele ya jamiiJeshi la polisi linaabisha nchi ya Tanzania sana, so sad
MPolisi wanafanya kazi kwa kubahatisha. Nguvu nyingi, weledi kidogo, akili kibaba.
SahihiKuna watu hawaelewi kinachoendelea hapa?Mwaka mmoja umepita tangu hawa jamaa wakamatwe.Walikuwa LOCKUP.Swali la kujiuliza ni watu wangapi wako LOCKUP sasa hivi kwa kesi ambazo sio za kisiasa lakini bado ni za kubumba?Kuna haja ya kuwa na POLICE OVERSIGHT COMMISSION ambayo itakuwa independent.
Mimi binafsi natamani kuona PICHA ya MTOTO wa MAHITA nione kama ameshiba RUSHWA au la.
so far wananchi washaelewa mzigo umeegemea upande upi, mahakama za wazi ni chikobo !! Hii kesi itafurumua mengi.Ndiyo uzuri wa Mahakama ya wazi, raia wafuatilie mwenendo wa kesi, ushahidi wa polisi walivyotenda kazi ya kukamata watuhumiwa na maelezo ya pande zote mbili kuhojiwa kwa kina.
huyo wa kushoto sio baunsa ni bonge nyanya ana kitambi kuliko boss wake
Kwahiyo usaidiwe nini?huyo wa kushoto sio baunsa ni bonge nyanya ana kitambi kuliko boss wake
Mitaa ya makahaba anayoiongelea lion Chawene huijui? Waheshimiwa hao ni hawa hapa:
Don't judge a book by it's cover.
Usisahau Jiwe, Sirro & Company Ltd waliwagwaya hao JKNIA si muda mrefu uliopita.
watamuachia tu,haijaisha bado wanapiga kona kona nyingiVp hii imeishaje! Anapelekwa Guantanamo?