Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

242521070_897364507567259_7670953961019266357_n.jpg

36568_10151552769534339_1739172175_n.jpg

2485778_FB_IMG_1595009729173.jpg
 
Ndiyo uzuri wa Mahakama ya wazi, raia wafuatilie mwenendo wa kesi, ushahidi wa polisi walivyotenda kazi ya kukamata watuhumiwa na maelezo ya pande zote mbili kuhojiwa kwa kina.

Nasi tunapata picha kamili ya ukweli juu ya kesi hii ya tuhuma za ugaidi inavyoendelea.

Kesi hii ndogo upande wa mashtaka ulikuwa na mashahidi 7 waliotayarishwa kuja kutoa ushahidi mzito, tayari mashahidi 3 wametoa ushahidi mbele ya Mahakama ila leo ombi limetolewa na upande wa mshataka kuwa mashahidi wengine 4 waliobaki wasijitokeze kutoa ushahidi wao.

Tusiotee itakapofika hatua ya kesi kubwa ya msingi mabadiliko gani makubwa yatatokea wakati kesi kubwa ikianza.

Itoshe kusema sisi tunaohudhuria hii kesi kwa hisani kubwa ya teknolojia na wale waliobahatika kuwapo mahakamani tunakwenda sawa na kubaini yanayoendelea mahakamani.

Juhudi zozote za kuzuia watu kuingia mahakamani au kuzuia kuripoti on realtime kesi hii kiteknolojia itahesabiwa ni njia ya kutaka haki isitendeke.
 
Nilichogundua hata kwa sheria tulizonazo sasa bado zikifuatwa hasa hio PGO watu watapata haki zao vizuri tu,tatizo hawa polisi wamelaaniwa na kwa sababu wanalinda maslahi ya waliopo madarakani ndio maana wanaachwa watese watu hovyo
 
Kuna watu hawaelewi kinachoendelea hapa?Mwaka mmoja umepita tangu hawa jamaa wakamatwe.Walikuwa LOCKUP.Swali la kujiuliza ni watu wangapi wako LOCKUP sasa hivi kwa kesi ambazo sio za kisiasa lakini bado ni za kubumba?Kuna haja ya kuwa na POLICE OVERSIGHT COMMISSION ambayo itakuwa independent.

Mimi binafsi natamani kuona PICHA ya MTOTO wa MAHITA nione kama ameshiba RUSHWA au la.
Sahihi
 
Mitaa ya makahaba anayoiongelea lion Chawene huijui? Waheshimiwa hao ni hawa hapa:






Don't judge a book by it's cover.

Usisahau Jiwe, Sirro & Company Ltd waliwagwaya hao JKNIA si muda mrefu uliopita.


..Dah!!

..Huyo Maza aliwatishia Magu na Sirro kitu gani mpaka akaweza kumchomoa Lissu hapa Tz?

..Lissu alishatiwa nguvuni na Polisi ila huyo Maza wa Kizungu akaenda akamtoa kituo cha Polisi, wakampa hifadhi, na kumpeleka uwanja wa ndege kupanda pipa.
 
Back
Top Bottom